getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Nimekuwa nikiliwaza jambo kwa kitambo sasa, naomba kuliwasilisha hapa jamvini kama wazo naamini wadau wapo watalifanyia uchambuzi na kuona kama litafaa kwa faida ya Taifa letu,
Uwepo wa Bandari rasmi kwa Nchi yetu kunaweza kuwa baraka na faida kama tukizitumia vema ambapo ni rahisi kwa miji ama mikoa iliyo karibu na bandari kukua kiuchumi.
Huu ni Mtazamo
● Dar es salaam, Bandari hii ingepewa jukumu la kupakua mizigo ya kibiashara tu. Ikizingatiwa kuwa ipo karibu na soko kuu la kimataifa ambapo watu kutoka mataifa mengi watakuja na kuipata kwa urahisi.
●Tanga Bandari ya Tanga ingepewa Jukumu la kushusha magari na bidhaa za mafuta zoezi hili ama jukumu hili laweza kufanya mzunguko wa pesa Tanga mjini kuwa mkubwa na kuchochea ukuaji wa uchumi na bila shaka kuifanya bandari pia kuwa busy. Magari yote yanayokuwa on transit IT yashushwe Tanga.
●Bandari ya Mtwara.
Hii ihusike na zana za kilimo aina zote kama ni matrekta au bidhaa zozote zinzohusiana na kilimo ikiwemo pia kupeleka bidhaa za kilimo Nje ya Nchi sabbu bila shaka
Mtwara iko karibu na Mikoa inayojishughulisha na kilimo..
Tukifanya hivi itakuwa rahisi kwa mikoa iliyo karibu na bandari hizi kuinuka kichumi na kuchochea ukiaji wa uchumi kwa maeneo mengine.
Nawasilisha kwa uboreshaji wa hoja hii na michango zaidi
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app