Hivi kanga anataga na kutotoa mayai mangapi?

Hivi kanga anataga na kutotoa mayai mangapi?

mujydebubyz

Member
Joined
Feb 13, 2007
Posts
49
Reaction score
7
Ndugu,
Nina kanga wawili napenda kujua huwa anataga mayai mangapi na anatotoa mayai mangapi na anatumia siku ngapi kulalia?
 
mkuu kumbuka usemi wa wahenga; "kanga hatagi ujani". Kanga ni ndege, anafanana sana na kuku. Moja ya tabia nzuri za kanga ni kuupenda uhuru wake, kanga anapenda sana kuwa huru. Hapendi kuishi katika mazingira ya kufugwa , binadamu akijaribu kumfuga kanga, basi, huwa hatagi mayai na kutotoa vifaranga. Kamwe kanga hatagi utumwani.
 
Nimemuwekea kuku mayai ya kanga, je kuku atachukua siku ngapi mpaka kuangua?
 
Back
Top Bottom