Waziri Lugola amsimamisha kazi Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Mbogwe

Display Name

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
423
451
Waziri wa Mambo ya ndani, Kangi Lugola amemsimamisha kazi Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Mbogwe, Geita.

Aidha, Waziri Lugola amemsimamisha kazi Mkaguzi wa Jeshi Wilayani humo, kwa tuhuma za kupokea rushwa

#JFLeo
 
Back
Top Bottom