Familia ya Ruge Mutahaba imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu yake

chemri

New Member
Jan 19, 2019
3
150
Napenda kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wa ruge mutahaba kwa kipindi kigumu wanacho kipitia....

Nimeshangaa kuona familia ya ruge imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu ya ruge

Nashindwa kuamini kua CLOUDS wameshindwa kuendelea kulisimamia tatizo la ruge

Ikumbukwe RUGE ni mmoja wa wamiliki wa clouds media


MUNGU SIMAMA NA RUGE

=======

HALI YA RUGE MUTAHABA: MSAADA WA HALI NA MALI WAHITAJIKA TOKA KWA YEYOTE ATAYEGUSWA
-
Mbaki Mutahaba, ambaye ni mdogo wa Mkuu wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema kuwa gharama za matibabu ya Ruge ni kubwa mno
-
Mwaka jana Rais Magufuli alichangia gharama za matibabu ya Ruge lakini bado michango zaidi inahitajika
-
Imeelezwa kuwa gharama za matibabu ni kubwa na kwa siku zinaweza kufikia millioni 5 mpaka 6
-
Kwa yeyote atakayeguswa kuchangia matibabu ya Ruge Mutahaba wameombwa kufanya hivyo kupitia namba 0752 222 210
-
Namba hiyo imesajiliwa kwa jina la Kemilembe Mutahaba
IMG_20190218_205420.jpeg
 

Mnondwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
3,887
2,000
Dah,nasikitika kuona watu wanaandika upumbavu,shida huwa haiji kwa taarifa,usiombe hayo matibabu ya figo yawakute nyie,kuishi kwa milioni 5 kwa siku,mpaka kufika leo ni kiasi gani munadhani?chuki zenu mpaka wakati wa maradhi?au hata kwenye misiba?
Acheni jamani,hakuna aijuaye kesho yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom