Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,140
Reaction ya wananchi wa kawaida mitandaoni, kwenye vijiwe vya kahawa na story za kawaida mitandaoni.... Koleza na reaction ya viongozi mbalimbali mitandaoni baada ya makonda kumuita Pierre mtu wa hovyohovyo imetupa picha moja kubwa sana CHUKI ya wazi kabisa....
Akiwa na muda wa kujitafakari anaweza kujirudi na kuanza upya... Tunaweza kubeza reaction ya watu wengine wa kawaida lakini sio ya viongozi wenzake... Baada ya tukio lile hawa wamefanya yafuatayo
. Mkuu wa wilaya ya KISARAWE alimuomba radhi Pierre
. Waziri wa utalii akaandika post ndefu kuonesha Pierre hakuwa tatizo na hakutendewa haki
. Spika kamualika bungeni na wakapiga wote picha
. Waziri mkuu kamuahidi tiketi ya ndege kwenda Misri na Taifa stars
Naamini hawa ni kiwakilishi cha wengi ambao hawajatoa yao ya moyoni
Ghafla Pierre kageuka kuwa shujaa dhidi ya bashite... Yani ni kama kamzaba vibao vya kelebu kushoto na kulia...
Pierre aliyedhihakiwa kawa shujaa, bashite kabaki na aibu.... Na amejionea jinsi anavyochukiwa mpaka na viongozi wenzake.... Ajitafakari... Asiye akawa ni SIFURI inayosubiri kutokomezwa, kichokoo kikiwa Pierre
Jr[emoji769]