Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muda si mrefu uliopita waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amelitangaza rasmi jeshi tiifu la Iran ( Iran Revolutionary guard) kama ni kikundi cha kigaidi!!!! Hii imekaaje wadau...
1 Reactions
5 Replies
903 Views
Habari wana JF Katika pita pita zangu kwenye mama Tanzania nimeona jambo moja la hatari sana, watu kuruhusiwa kuchunga wanyama pembezoni mwa barabara hususani hizi highways. Hili jambo ni la...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Wakuu Mimi bado sijapata meseji ya kuitwa kwenye usaili wa siku ya jumanne. Wakuu naombeni pia msaada wa kupata kazi, nimemaliza chuo kikuu 2008 mpaka sasa sijaajiliwa serikalini. Na Jana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nawaza tu jamani,kwa nini tusiwe na vyuo maalumu kwa ajili ya wasichana wanaokuwa wamemaliza shule kabla ya kujiunga na vyuo vya taaluma Kama vile ilivyo kuwa jkt zamani ili tuwajaze nondo watoto...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
MTUNZI : ERIC SHIGONGO MWANZO HALI ya hewa ilikuwa ya baridi kali, kwa kipindi hicho cha mwezi Machi, ilikuwa ni hali ya kawaida kwa eneo hilo kuwa na baridi. Watu walikuwa wengi sokoni...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Nimesikitishwa sana na habari iliyochapishwa na gazeti la Ijumaa wikienda (Global publishers) inayohusu watotot walioenda mahakamani kumlilia mtoto wao ambaye ni mtuhumiwa wa biashara ya ukahaba...
22 Reactions
45 Replies
7K Views
Kutoka insta, Shigongo anadai kwamba umaskini ni laana ,na mafundisho ya dini yanasababisha umaskini huo kwa wakristo.. Majibu yangu Erick Shigongo sio watu wote wanaweza kuwa na fedha za...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Ninarudia kusoma Kitabu Cha Mzee Ludovick Utouh ili kuona kama kumewahi tokea ukinzani wa CAG na Bunge huko nyuma na Viongozi walichukua hatua gani. Nakutana na kisa Cha Jairo kuanzia Ukurasa wa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani hivi kuna uhalisia wa mgawanyo wa hela kwa wanaopata bonus match? Au kama umewahi kupata dau kubwa jackpot hebu tuthibitishie MM MBET, nimewahipata mechi 9 mara 5 na 10 mara 1 japo sichezi...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Inasikitisha sana lakini ndo ukweli....Mbegu za GMO zina madhara makubwa mno huku sisi tukizikumbatia Wenzetu developed countries walishasanuka kitambo ijapo bado hawajatoka kwenye hilo giza...
8 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini??? Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio...
3 Reactions
131 Replies
15K Views
nenda ukapate kitambulisho cha ujasiliamali kama uko mbezi na msigani kwenye ofisi za kata unatakiwa kwenda na 1. 20,000 tshngs 2.kitambulisho cha uraia au mpiga kura 3. kopi ya kitambulisho cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisitasita kuandika wosia kuacha kidogo nilichonacho kwenye mikono salama. Kwa wakati wote huu nimekuwa nikipata sababu za msingi na haja ya kuandika wosia...
29 Reactions
63 Replies
6K Views
Amani! Pamoja na madhaifu ya hapa na pale, pongezi kwa askari wa usalama barabarani kujitahidi kusimamia suala zima la usalama barabarani hususan maeneo ya katikati ya miji. Siku hizi hususan...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Ni hivi, kama wanamuziki wa wasafi wanapitia humu naomba wabadilike kama wanataka kuendelea kushindana katika nyanja za muziki. Hawa jamaa wamekuwa wakijaribu kuimba live katika show zao za hivi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Natumaini nyote ni wazima wa afya na walio na matatizo tuzidi kuwaombea Mungu atie nusra yake. Nadhani wote tunafahamu kinachoendelea sasa katika nchi yetu si kingine bali...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Masika au Msimu wa mvua umepamba moto,sehemu kubwa ya Tanzania inanyesha,maeneo mengi kuna maji yaliyotuama na yanayotiririka. Mito na mabwawa yamejaa,wakaa mabondeni nao wanataharuki,baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Kilimanjaro imebaini ufisadi katika ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Siha unaoendelea sasa ambapo ujenzi wake unagharimu shilingi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari Za mda huu Members, Niende Moja kwa Moja Kwenye Hoja yangu, Sisi binadamu tumekuwa na roho Mbaya hasa Unapoona Mwenzako Kafanikiwa. Tuache Roho hzo Tupendane sote Nawatakia Siku Njema...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…