enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,646
- 10,028
Muda si mrefu uliopita waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amelitangaza rasmi jeshi tiifu la Iran ( Iran Revolutionary guard) kama ni kikundi cha kigaidi!!!!
Hii imekaaje wadau wanaofuatilia mambo ya kimataifa?? Yaani mfano jeshi letu pendwa la JWTZ liitwe kikundi cha kigaidi na nchi nyingine!!!! Kweli mwenye nguvu mpishe!!!
Source: BBC, New York Times ,RT and Press Tv.