Dah nadhani hujanielewa....Daaah hata huu uzi nao ni kutafuta umaarufu
Hata hili nalo kweli mpaka ushauri??? Yaan kwenda mahosp/kwa mwenyekiti/vituo vya yatima/mashulen n.k. ukakutana na wasimamiz wakuu. Ukatoa msaada wako. Nawao wakauwakilisha kwa walengwa ..ilo nalo mpaka ushauri!??
Haingii akilin mtu mwenye wazo la kutoa misaada nakusaidia watu , eti mpaka ashauriwr namna ya kuitoa iyo misaada bila ye kujulikan.
Mbona wengi tunasaidia tu kwa uwezo wetu mdogo na hatujulikan nahatujawah omba ushauri.
Anyway awali ya yooote.,, Kwanza kabisa, kabla hujaenda mbali sana, umetizama ndugu na jiran zako hapo. Huyo mama mjane pale hapo mtaani uyo dogo anayehangaika ?? Umeshaongea nao.
The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Wacha kutafuta kiki za kiseng.eNatamani sana kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali ikiwemo afya, elimu, kazi, au shida yoyote ile as long as kweli nimejiridhisha kwamba huyo mtu kweli anahitaji msaada.
Lakini sihitaji kutengeneza umaarufu wa aina yoyote. Yaani ikiwezekana hata yule niliyemsaidia asijue kama ni mimi ndiyo nimemsaidia. Kwa sababu ninaamini kujulikana inaweza isiwe muhimu sana kuliko huo msaada wenyewe.
Tafadhali kama unaweza kuwa na mawazo yoyote juu ya hili, Ninaomba unisaidie.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazingua.... umaarufu gani me natafuta.... humu jf kuna mtu ananijua mimi?Unatafuta umaarufu wewe
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Idea nzuri... asante mkuu...Anzisha organization halaf usijihusishe nayo zaidi ya kutoa hela kwa watakaokuwa wanaiendesha. Ama nenda ngo yyt katoe msaada ikiuelekeza uende kusaidia kina nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupenda kukutana na watu physical au kutumia njia ambayo itadisclose identity yangu. That is my point...Sehemu za kufanya hilo jambo ziko nyingi sana
Kuna gereza la watoto jirani na hospt ya Regency, kuna vituo vya mayatima kibao mtaani kama dogo dogo center,
Nenda hospt za wilaya kama Temeke, mwananyamala, Amana kama upo Dar nenda kasaidie mkuu
Kuna wengine hua wanaomba msaada katika tv station na radio,
Njoo kwetu uswazi Yombo, Tandika, usaidie watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee.... Haya ndo mawazo yako?Huna tofauti na Pierre Konki LIQUID
Teflon_Don
Duh sikuwaza kama ndo tungefika huku...Nyie ni wapigaji....mnaanziaga mbali kweli....!!! kuna watu wengi sana wanahitaji misaada na wengine wanachangiwa kwa nambari za simu kwani hujui???
Ina maana hujui namna ya kutoa michango bila kujulikana????....ama ni njia ya kutafuta madem humu jf....uonekane unazo.....acha mizinguo bana....
Njoo pm unisaidie KakaMnazingua.... umaarufu gani me natafuta.... humu jf kuna mtu ananijua mimi?
Kama hamna cha kuchangia mnaweza kupita kimyakimya... ni busara pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe husemi ukweli! Mbona kuna namna zaidi ya milioni moja ya kusaidia watu?Sikupenda kukutana na watu physical au kutumia njia ambayo itadisclose identity yangu. That is my point...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempatia kabisa. Huyu jamaa ni tapeli. Matapeli wa siku hizi huanzia mbali sana kiasi ambacho kama mtu una tamaa za haraka haraka wanakupata haraka sana.Nyie ni wapigaji....mnaanziaga mbali kweli....!!! kuna watu wengi sana wanahitaji misaada na wengine wanachangiwa kwa nambari za simu kwani hujui???