Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi leo naomba wanajamvi munifafanulie mamlaka ya Afisa Tarafa Kikatiba au kwa mujibu wa katiba, napenda kujua kwasababu ktk zunguka yangu Mimi kama Mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa. Sababu ni...
1 Reactions
4 Replies
12K Views
Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga. Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Bado mambo ni magumu, waliahidi mwisho Tar 30. March leo Tar. 8 April Mashamba hayajaandaliwa. CCM ni bora ijitafakari tu haifai tena kuongoza nchi hii.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya matangazo ya nyumba za chamazi yanavutia sana mimi ni mkazi wa Goba na nimejenga Goba ila nashawishika ninunue nyumba huko kisha nipangishe tu... nyumba nzuri kweli zimenakishiwa kwa rangi...
2 Reactions
47 Replies
13K Views
Habari wadau Leo nimeamka na hasira nilipoona mtoto Wa mpangaji wangu analilia kisa kaambiwa na mama yake akinge maji na kuingiza ndani kumsaidia Dada Wa kazi anaumwa Leo. Nimejikuta nimempa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona leo si haba! Taarifa za Maalim huku Bara na huko Visiwani hakika leo mumezitendea haki.Matukio karibu yote ama ya Seif alivyozungumza na vyombo vya habari na huko Zanzibar pia namna...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada hivi Emirates airline wamepunguza trip zao kwa wiki imekuwa mara 5 tu badala ya daily flights. Kama kuna kuna mtu anajuwa please anaweza kuthibitisha. Hata Qatar airline...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
RAIS WA BUGANDO APATIKANA USIKU HUU akutwa akiwa katupwa Usagala Akiwa hajitambui na akiwa amepoteza kumbukumbu Rais wa chuo kikuu Bugando Mussa Leonard Mdede amepatikana usiku huu akiwa...
0 Reactions
217 Replies
31K Views
Nimeshtushwa na takwimu za ITV kupitia kipindi chao cha "YU WAPI", kwamba kwa mwaka huu wamesharipoti upotevu wa watu haswa watoto, zaidi ya 93 na wengi sana wa hao wanatokea mkoani Dar-Es-Salaam...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sina kumbukumbu nzuri kama mkuu wa kaya alishazulu mikoa tajwa. 1. Rukwa 2. Mbeya 3. Njombe 4. Ruvuma 5. Mtwara 6. Lindi Au ndo tusubiri mpaka 2020.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nina visent nataka nivisave bank Mana kusave home Ni risk coz waeza vunjiwa ukaibiwa au nyumba ikaungua af ukiwaambia watu kulikua na pesa ndani ukaonekana kolo Sasa changamoto Ni haya makato ya...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Wenye uelewa nisaidieni je ni category gani ya hela inalipwa km sehemu ya mkopo? a. Ada b. Boom C.library requirement. Au yote tafadhali mwenye uelewa anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekaa chini nikatafakari, mara nyingi tumekuwa tukiona watu wakishinikiza wengine wafanye migomo. Utakuta kuna baadhi ya watu pengine hata viongozi wanaongelea migomo na kuwalisha watu sumu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakuna kitu kinasikitisha kama kuona hakuna taarifa sahihi za timu ya Taifa na wachezaji wake kipindi hichi tunachoelekea kwenye michuano mikubwa tulioshindwa kufika zaidi ya miaka 39 AFCON...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Lile sakata la kumfufua mtu limefika pabaya, Lukau adaiwa kufanya maigizo ili kutapeli waumini, Mboro amvalia njuga juu ya utapeli huo, video ina maelezo kamili.
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Serikari ya Japani kwa kushirikiana na serikali ya Tanzania imezindua kituo cha afya kijiji cha Manyire kata ya Mlangalini wilayani Arumeru mkoani Arusha kilichogharimu zaidi ya kiasi cha shilingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naamini wengi tulishawahi kupita maeneo ya magogoni pale, kwenye nyumba ya mkuu wa nchi ile ni ofisi kama zilivyo ofisi zingine za umma na huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna...
7 Reactions
96 Replies
13K Views
Tanzania kwenye takwimu rasmi inapenda kujinasibu kuwa ni nchi yenye makabila takribani 120 na karibu yote yana lugha zake, na kuwa kiswahili ndio lugha ya taifa hilo ni jambo zuri, kuwa tuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom