Ladies college of Tanzania

Ladies college of Tanzania

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,490
Reaction score
8,305
Nawaza tu jamani,kwa nini tusiwe na vyuo maalumu kwa ajili ya wasichana wanaokuwa wamemaliza shule kabla ya kujiunga na vyuo vya taaluma Kama vile ilivyo kuwa jkt zamani ili tuwajaze nondo watoto wetu jinsi ya kuwa wakina mama bora wa kitanzania.

Vvuo viwe multdisplinary na kufundisha usafi,malezi,lishe, uchumi na ujasiriamali hata self esteem ya mwanamke wa kitanzania.

Simaanishi kuwa hawajui,lakini itaongeza mfanano wa kitanzania kwa familia zetu.
Kama tunavyojua kasi ya maisha inamnyima msichana ukaribu na mama yake na hata hivyo watoto wanatumia muda mrefu zaidi shuleni.

Mpaka akishakuwa tayari kuolewa anakuwa hajui vitu vingi tu halafu tunawalaumu kama vile tuliwafundisha.

Mtu unamaliza chuo hujui kupika,usafi na hata tu yale maisha ya mtaani yanakuwa magumu kuyajua.

Wanasema ukielimisha msichana umeelimisha familia, ukielimisha familia umeelimisha taifa.

Badala ya kuwalaumu tu tujiulize kama tuliwafundisha kuwa vile tunavyotaka?
Vijana wetu wanaenda kuoa nje ya nchi kwa kuwa wanadhani huko kuna afadhali.

Wizara husika utamaduni,Sanaa,elimu,afya na maendeleo ya jamii wanaweza kutusaidia kufanya hizi program ili mtu akikengeuka tuseme ameamua tu.

Hili ni wazo kwa hiyo unaweza kuliboresha.
Karibu tuchangie.
 
Ni muhimu mno, kwa mtu mwenye afya ya akili kufikilia kama wewe, ni muhimu mno.
Jando na nyago zilizikwa kwa usasa tulioupokea, hatukufikilia kwamba kuna haja ya kuvi improvize viendane na wakati wa sasa.

Leo vijana hawana gender and maternity skills wanajikuta tu wanatumbukia kwenye mimba.
NB;
Kuna wakati fulani nipokuwa primary schools nilisikia jamii yangu wakisema wapo watu enzi zile walizishikilia mimba zisikue mpaka watakapoona sasa hata kijana akizaa hakuna shida wanaiachia jamani kuna yeyoye amewahi kulisikia hili?
Hata kama mtoto yuko darasa la tano atamaliza la saba hajajifungua.
Japo sijawahi kuliamini hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza jambo lenye picha isiyoonekana, safi sana.

a. Ila mfumo unaoandaliwa kwa kizazi hiki hakiwezi kukubaliana na mawazo ka haya kutokana na malengo ya dunia kwa mwanammke.

b. Wakati wao/wetu wazazi waliweza kulea na kukuza kijana wa kike akiwa nyumbani pindi anatoka shule, kufua, kupika nk ila kwa sasa mnaambiwa "MPE NAFASI"

c. Haki sawa, hii ndiyo inaendelea kuvunja vunja na kuvuruga utaratibu uleeee wa maisha muswano kwa kizazi cha zilipendwa.

d. Jiulize au nani atakayebisha miaka kumi ijayo kuoa mwanamke goigoi nyumbani au kuoa ndugu, dadako itakuwa ngumu?.

Hizo 👆 zote zinatokana na new generation kufanya kile kilichoonekana kilimdidimiza mwanamke.
 
Ni muhimu mno, kwa mtu mwenye afya ya akili kufikilia kama wewe ni muhimu mno.
Jando na nyago zilizikwa kwa usasa tulioupokea, hatukufikilia kwamba kuna haja ya kuvi improvize

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh! sijawahi pewa compliment kwenye huu ukumbi kiongozi!it means a lot to me na ubarikiwe.
Unadhani inawezekana?je tuanzie wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza jambo lenye picha isiyoonekana, safi sana.

a. Ila mfumo unaoandaliwa kwa kizazi hiki hakiwezi kukubaliana na mawazo ka haya kutokana na malengo ya dunia kwa mwanammke.

b. Wakati wao/wetu wazazi waliweza kulea na kukuza kijana wa kike akiwa nyumbani pindi anatoka shule, kufua, kupika nk ila kwa sasa mnaambiwa "MPE NAFASI"

c. Haki sawa, hii ndiyo inaendelea kuvunja vunja na kuvuruga utaratibu uleeee wa maisha muswano kwa kizazi cha zilipendwa.

d. Jiulize au nani atakayebisha miaka kumi ijayo kuoa mwanamke goigoi nyumbani au kuoa ndugu, dadako itakuwa ngumu?.

Hizo [emoji115] zote zinatokana na new generation kufanya kile kilichoonekana kilimdidimiza mwanamke.
Lakini mkuu tukianza kusema haiwezekani si ndiyo hatufanyi kabisa.
Je, hatuwajibiki kulea watoto wetu katika maadili mema? naogopa sana hasa ninapoona siku hizi jamii inachukulia poa tu mfano:wikiendi hii uko deep in relationship na A,na wiki ijayo mmemwagana uko na B baada ya siku tatu mmeachana uko na C,na uko comfortable tu.
Sikuhizi hakuna aibu.?kuachwa ni dhila hata ukiipaka marashi bado ni aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu tukianza kusema haiwezekani si ndiyo hatufanyi kabisa.
Je, hatuwajibiki kulea watoto wetu katika maadili mema? naogopa sana hasa ninapoona siku hizi jamii inachukulia poa tu mfano:wikiendi hii uko deep in relationship na A,na wiki ijayo mmemwagana uko na B baada ya siku tatu mmeachana uko na C,na uko comfortable tu.
Sikuhizi hakuna aibu.?kuachwa ni dhila hata ukiipaka marashi ...
Kwa nafasi ya mzazi mmoja mmoja hili swala ni lake mwenyewe na familia yake.

Kitaifa hili swala ni gumu sana ukioanisha na dunia inavyotaka, so familia pia inaingiliwa na serikali kupitia huyo huyo binti yako wa kike kuwa "MWACHE ASOME"

Madhila ya umalaya kwa A, B, C hiyo ni kitu kingine tofauti na hadhi ya familia kwa mtoto wa kike kuelekea kuwa mwanamke mwenye ustawi kwa siku za usoni kwake mwenyewe labda na atakapoanzisha familia yake.
 
Asante mkuu,kinachonipa hofu ni kuwa hata wazazi wenyewe tumepinda![emoji16][emoji16]katika kijiji cha wachawi yule asiyeroga huonekaje?
Swala ni kama je tunaamani na malezi tunayotoa?au tunavumilia tu.
Siku hizi ni kawaida kuwakuta wakina mama(siyo eti wasichana)wako kijiweni wanapiga kelele za hatari,achilia mbali watembea nusu uchi!je hatuoni aibu tena kwa maana tumeongzeka kidemokrasia[emoji135]

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Hata sikuelewi mkuu, jibu nilishatoa ila sijui unataka nini cha ziada?
Asante mkuu,kinachonipa hofu ni kuwa hata wazazi wenyewe tumepinda![emoji16][emoji16]katika kijiji cha wachawi yule asiyeroga huonekaje?
Swala ni kama je tunaamani na malezi tunayotoa?au tunavumilia tu.
Siku hizi ni kawaida kuwakuta wakina mama(siyo eti wasichana)wako kijiweni wanapiga kelele za hatari,achilia mbali watembea nusu uchi!je hatuoni aibu tena kwa maana tumeongzeka kidemokrasia[emoji135]
 
Naomba nisome fresh...ili tupate kuelewana..kwamba iwe kwaajili ya wadada tu??na sio na wakaka😎
 
Wazo lako pia ni muhimu, only that wadada wakibadilika wanaume hawataacha kubadilika,na hivyo jamii nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa mkuu naheshimu mawazo yako...lakini uwe specific unawaongelea wanaume wa sayari hii hii au?kwamba wadada ndo chanzo cha kuporomoka maadili peke yao..kwamba wanaume wana maadili...na ukaenda mbali zaidi ukiamini hao automatik watachange ..uzuri sina mtoto wa kike!

Au la unasogoa tu hapa
 
Naongelea alliens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom