KWA WALIOWAHI KUSHINDA JACKPOT ZA BETTING(MBET, SPORTSPESA, PREMIER)

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
385
1,000
Jamani hivi kuna uhalisia wa mgawanyo wa hela kwa wanaopata bonus match?
Au kama umewahi kupata dau kubwa jackpot hebu tuthibitishie
MM MBET, nimewahipata mechi 9 mara 5 na 10 mara 1 japo sichezi mara nyingi, ila sportspesa naishia mechi 9 na 8 mara nyingi.......
Tupe uzoefu wako
 

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
3,695
2,000
Sportpesa huwezi kupatia mechi 13 zote
Wataendelea kula buku mbili mbili zenu kila wiki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom