Tbc uzalendo wenu uko wapi?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Mashindano ya CAF Vijana chini ya miaka 17 yanafanyika Tanzania Kwa Mara ya kwanza ni mashindano makubwa Kwa Africa na duniani.

Nimeshangaaa sana television ya taifa haikuweza kuonyesha hata ufunguzi wa mashindano haya makubwa ambayo nchi yetu imepata Bahati kuyaandaa

Uzalendo wenu uko wapi ... Amasa Kwa watanzania walioko vijijini, wilayani na mikoani wasiokuwa na ving'amuzi vya azam na dstv mnawasaiiaje nini faida ya kuwa na television ya taifà Ingekuwa nchi nyingine mechi zingeonyeshwa na hamasa ingekuwa kubwa kupitia television ya taifa lao.

Uzalendo kwanza Tanzania kwanza
 
Mkuu tunajua hamtupendi ss Tibisii!
Tungeonesha vipi wakati crew yetu iko kwenye msafara wa mheshimiwa sana?
Sie tuko bize mno na mambo ya kitaifa na inaonesha we sio mzalendo unatumiwa na mabeberu.
Mpira na ufunguzi wa uzinduzi wa jiji jipya kipi kina manufaa kwetu?
Na hyo ni mechi ya mwisho kuiona huko kuanzia sasa mechi zote zitachezwa kwenye kijiji kipya no am sorry ni Jiji jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana walikosa haki ya Kurusha matangazo ya moja kwa moja maana niliona walionyesha shamrashamra za mashabiki wanavyoingia uwanjani ikiwa ni pamaja na kuwahoji
Kumbuka mpira umeonyeshwa na Datv na AzamTV inawezekana wao walishindwa kwenye kununua haki ya matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anapaswa kuwafukuza kazi wafanyakazi woote wa tbc kuanzia mkurugenzi adi wafagiaji na walinzi na kuajiri upya
 
Inawezekana walikosa haki ya Kurusha matangazo ya moja kwa moja maana niliona walionyesha shamrashamra za mashabiki wanavyoingia uwanjani ikiwa ni pamaja na kuwahoji
Kumbuka mpira umeonyeshwa na Datv na AzamTV inawezekana wao walishindwa kwenye kununua haki ya matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kwenye misafara ya rais wanaonesha bure? azam waweze kununua hyo haki halafu serikali ishindwe.
 
Back
Top Bottom