Kulikoni yale mabati kwenye ukuta wa uzio wa Ikulu...?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
12,965
26,154
Wakuu ukipita pale Ikulu ule ukuta wa fensi umezibwa na mabati kila mahali, kiasi kwamba huwezi ona chochote mle ndani!

Hivi nani aliwapa wazo la kuziba na yale mabati ambayo mwisho wa siku ni uchafu tu, kama hawataki eneo la ndani lionekane si bora wangepandisha ukuta.

Ile mibati inachefua sana, alafu ndo ofisi kuu ya serikali na taswira ya nchi.. Je wanajenga picha gani katika ofisi za kawaida na makazi ya watu huku mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati watu walikuwa wanasimama pale kufanya utalii wa ndani ..nafikiri ni moja ya chanzo cha kufunika na zile bati


If it isn’t perfect ,it’s not good enough
 
Kipindi cha Jk ulikuwa ukipita pale kwa nje unawaona wanyama ilikuwa mpaka raha yaani,hadi ile barabara ya barack Obama kuipita kwa miguu ilikuwa ni raha sana lakini sasaivi ukionekana maeneo yale tu kwa sekunde kipindo cha mbwa koko kitakuhusu
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom