Eli kinngu ukiacha kazi ya ubunge maisha yako yatakuwa magumu sana

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,124
11,114
Kati wa wabunge ambao huwa siwaelewi basi mmoja wapo ni huyu, huwa ni mtu wa kujipendekeza sana na ameweka maslahi ya tumbo lake mbele kuliko maslahi ya jimbo lake

Niliwahi kumnukuu akisema hajawahi kufanya kazi nnje ya serikalini, yaani hajawahi kutafuta ugali wake kwa kazi yoyote ya kujitegemea zaidi ya kutegemea ulaji wake kutoka serikalini

Nahisi ndio maana hata iq yake ni ndogo na ndio maana amekuwa mtumwa , haangalii maendeleo ya jimbo lake , yeye kazi yake ni kutumbua tu posho na kukopa

Mtu kama huyu akija kuikosa ile nafasi atapata presha maana maisha yake yatakuwa ni magumu na ndio maana, ni moja ya watu wasiojielewa amekuwa kama msukule unaotete tumbo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom