Hivi haiwezekani kukata utepe kwa mkono, usalama wa Rais ni mdogo sana ile ni silaha kwa adui...


MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,169 2,000
MKASI USITUMIKE KUZINDUA KAMA INAVYOONEKANA KTK PICHA ILE NI SILAHA

UNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA


1555049852478-png.1069243
 
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,169 2,000
Hilo bonge linaweza kukimbia kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
aliyekuambia anataka kukimbia nani?

Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,970
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,970 2,000
aliyekuambia anataka kukimbia nani soma vizuri au hujaeleza MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kakkatumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwa nini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disponsable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Movie za kina Govinda zinakudanganya sana dogo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nelson Mwombeki

Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
2,840
Points
2,000
Nelson Mwombeki

Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
2,840 2,000
very dangerous bado siamini hapo kuna waandishi wa habari na wengine wengi tu
Mbona hujiulizi kwenye ziara na mikutano na sherehe za jamhuri si kuna watu wa mataifa mbalimbali wanaweza kumtungua tu fasta, watu hawana hayo mawazo kwasababu maraisi wa africa wengi hawapo "critical to affect the world politically or economically" hadi wawe assassinated. Ambao waliokuwa assassinated walifanyiwa hivyo mainly na mataifa ya nje yaliyokuwa na maslahi makubwa na nchi, km ukoloni flani hivi, ila in tanzania we are good to go, raisi anaweza hata akakaa coco beach akiamua na akawa fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadhi Mkuu 1

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
6,982
Points
2,000
Kadhi Mkuu 1

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
6,982 2,000
aliyekuambia anataka kukimbia nani?

Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disponsable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Yaani unaogopa mkasi wakati kuna watu wameshika mashine za hatari nyuma ya rais? Sema wewe ni mhaini unahamasisha watu wamdhuru rais kutumia mkasi.
 
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,169 2,000
Yaani unaogopa mkasi wakati kuna watu wameshika mashine za hatari nyuma ya rais? Sema wewe ni mhaini unahamasisha watu wamdhuru rais kutumia mkasi.
tatizo wewe ni poyoyo hivi unafikiri kupokonya ile mashine na kupokonya huo mkasi kipi rahisi, aliyeshika mashine ni mwenye ujuzi aliye shika huo mkasi hana ujuzi yaani unaunyakua kwa dk 1 umewahi kuona hiyo mikasi baada ya kuchukuliwa inawekwa wapi?
 
Queenever

Queenever

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
1,880
Points
2,000
Queenever

Queenever

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
1,880 2,000
aliyekuambia anataka kukimbia nani?

Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Mkasi? Kiaje umteke namitutu yote ile
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
8,561
Points
2,000
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
8,561 2,000
Hivi ni Mimi peke yangu ndo sijakuelewa au!
Hivi u nadhani mtu anaweza kutumia huo mkasi mpaka akamdhuru rais wakati wapo wapo hao wengine wenye mashine wamemzunguka?

Juzi nilishuhudia huyo Jamaa aliuchukua huo mkasi akampa mwingine aliyekuwa mbali ila ilikua ni shughuli ya fasta ni sawa na akisimamishwa njiani wakimaliza kuongea ..angakia ile maiki inavukuliwa fasta!
 

Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,212
Top