Moshi,Baraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA)Mkoa wa Kilimanjaro limetangaza mfumo mpya wa usajili madrasa ,misikiti na utoaji wa vitambulisho wa maimamu na wafungishaji ndoa na kuzindua vyeti vya ndoa vilivyoboreshwa
Hatua hiyo imekuja baada ya zoezi kama hilo kuzinduliwa wiki hii katika viwanja vya shule ya sekondari Al harmain Dares salaam na Mufti mkuu Shekh Abubakar Zuber na kuwataka viongozi wa bakwata mikoani kuendelea na zoezi hilo
Katibu wa baraza hilo Mkoa wa Kilimanjaro Awazi Lema ,akizungumza leo katika ukumbi wa Bakwata mkoa na viongozi mbali mbali wa misikiti wakiwamo Maimamu mkoa huo,alisema mpango huo ni muhimu mkubwa
Kusajiliwa kwa misikiti na madrasa kutasaidia kuyaweka mambo wazi sanjari na kumbukumbu zao kuhifadhi katika ofisi za baraza hilo katika ngazi mbali mbali
Lema alisema kuna umuhimu mkubwa kwa madrasa zetu na misikiti yote kujulikana Bakwata ili kuweza kusaidiwa katika mambo mbali mbali
Alisema kumekuwa na matukio mbali mbali yaliyojitokeza kwa baadhi ya Walimu wa madrasa kudaiwa kufundisha masuala ambayo ni kinyume na utaratibu lakini kwa sababu hajulikani na mamlaka husika inakuwa vigumu kuwachukulia hatua
Nimetoa siku 30 kwa mkoa wa Kilimanjaro kwa waisika waweze kujisali na endapo hatajisajili ,Bakwata itashindwa kumtambua ‘’alisema Lema
Lazima bakwata ijue misikiti yote na madarasa ,ndiyo maana tumeamua tuwe na shahada kwa ajili ya mpango wa kuzisajili madrasa na misikiti ,ikitokea mtu anataka kujua idadi ya madrasa inakuwa raisi kujulikana
Kwa upande wake kaimu Shekh wa Mkaoa huo Shaaban Mlewa,akizungumzia vyeti vya ndoa aliwata wale wote wenye vitabu vya ndoa vya zamani kuviwasasilisha ofisini kwake mara moja na kuchukua vipya
Alisema kuhusu vyeti vya ndoa kwa sasa vimeboreshwa na vimekuwa vya kisasa na kuwataka
Imamu Hamza Shekh wa Mtaa wa Sanya na mwenyekiti wa Bakwata wilyani Hai Omari maamud ,alisema mpoango huo ni mzuri wa kuwepo kwani utasaidi kufahamu mambo mbali mbali yanayofanyika katika madrasa zetu pia katika misikiti yetu kwa lengo la maendeleo
Viongozi wengi wetu hatuna vitambulisho wakiwamo maimamu walimu wa mardasa jambo ambalo linafanya tushindwa kutambulika kwa haraka lakani kwa sasa tunashukuru kwa viongozi wetu kuliona hili kwani vitambulisho hivi
Sent using Jamii Forums mobile app