Jinsi ya kuficha udhaifu (weakness syndrome)

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,290
Reaction score
23,451
Mathalani nianze kwa kuuliza!

Ukiambiwa "wewe ni Malaya" Huwa unajibuje?
Kisayansi neno baya huwa halina nguvu yeyote likipuuzwa! Neno baya hupata nguvu kutokana na linavyopokelewa!

mfano 1. mwanamke akimuita mwanaume Hanithi mbele za watu; Itakuwa na nguvu kutokana na vile mwanammme atakavyojibu

Mfano 2. Ukimuita mwanamke ("we Malaya), halafu mwanamke huyo anajijua ni bikira hana haja ya kuhamaki!

Hata Pierre alivyoitwa Wa hovyo! alivyo kaa kimya ilikuwa na maana kubwa kuliko siku hiyo angehangaika pale kwenda mahakamani kujibu kuwa SIYO WA HOVYO!
  • kwahiyo kunyamaza mda mwingine inamaanisha UJASIRI
  • kunyamaza ni ishara ya wenye NGUVU (Strong)
  • Kunyamaza ni ishara ya HEKIMA etc
Rais Jakaya kikwete aliwahi Itwa ni dhaifu; alicheka tu, lakini kumbe ndiye alikuwa JASIRI NA MWENYE NGUVU

Yesu alikubali kudhalilishwa pale msalabani lakini kumbe ndiye alikuwa Mwenye NGUVU

SPIKA ndugai na bunge lake walipoambiwa kuwa ni dhaifu, kitendo KUPANIKI ni ishara ya kudhibitisha UDHAIFU Mkubwa;
  • kama wanafanya mambo yao vizuri wanaanzaje KUPANIKI?
ISHARA YA UDHAIFU HUBABISHWAJE?;

Hasira au jaziba za kila wakati husababiswa na yafuatayo;
  1. Kujihami kwa uongo,
  2. magonjwa ie; Ukimwi>presha,kisukari,tb, magonjwa ya moyo n.k
  3. kuficha jambo baya (usiri)
  4. Kulazimisha Sifa zisizostahili
  5. Ulimbukeni
  6. Ushamba
  7. Ulevi
  8. Elimu duni
  9. Kutokuwa na malengo
  10. Kukosa UPENDO
Tunashauriwa kushighulika na hayo kumi kuepukana na UDHAIFU
 
Lakini kunyamaza kwenye mambo yasiyo na ukweli kiongozi hauoni kama kuna walakini?
 
kuna njia nzuri nyingi tu kuprove ww SIYO dhaifu!
mfano! wewe kama unajinsia ya mwanamme, MTU akikuita wewe mama! zipo njia nyingi za kumuonesha kwamba wewe SIYO mwanamke! Unaweza kukuna hata ndevu au kutembea kifua wazi; akizidi kukusema Unamwambia twende UKANIBANDUE!..akishoboka kwenda hukohuko ndo unamzibua yeye vizuri kimya kimya akirudi mtaani lazima afute kauli
 
Hahaaaa wasukuma tunasemaga Tyombana mogangi ndezu😂😂😂
 
Mathalani nianze kwa kuuliza!

Ukiambiwa "wewe ni Malaya" Huwa unajibuje?
Kisayansi neno baya huwa halina nguvu yeyote likipuuzwa! Neno baya hupata nguvu kutokana na linavyopokelewa!

mfano 1. mwanamke akimuita mwanaume Hanithi mbele za watu; Itakuwa na nguvu kutokana na vile mwanammme atakavyojibu

Mfano 2. Ukimuita mwanamke ("we Malaya), halafu mwanamke huyo anajijua ni bikira hana haja ya kuhamaki!

Hata Pierre alivyoitwa Wa hovyo! alivyo kaa kimya ilikuwa na maana kubwa kuliko siku hiyo angehangaika pale kwenda mahakamani kujibu kuwa SIYO WA HOVYO!
  • kwahiyo kunyamaza mda mwingine inamaanisha UJASIRI
  • kunyamaza ni ishara ya wenye NGUVU (Strong)
  • Kunyamaza ni ishara ya HEKIMA etc
Rais Jakaya kikwete aliwahi Itwa ni dhaifu; alicheka tu, lakini kumbe ndiye alikuwa JASIRI NA MWENYE NGUVU

Yesu alikubali kudhalilishwa pale msalabani lakini kumbe ndiye alikuwa Mwenye NGUVU

SPIKA ndugai na bunge lake walipoambiwa kuwa ni dhaifu, kitendo KUPANIKI ni ishara ya kudhibitisha UDHAIFU Mkubwa;
  • kama wanafanya mambo yao vizuri wanaanzaje KUPANIKI?
ISHARA YA UDHAIFU HUBABISHWAJE?;

Hasira au jaziba za kila wakati husababiswa na yafuatayo;
  1. Kujihami kwa uongo,
  2. magonjwa ie; Ukimwi>presha,kisukari,tb, magonjwa ya moyo n.k
  3. kuficha jambo baya (usiri)
  4. Kulazimisha Sifa zisizostahili
  5. Ulimbukeni
  6. Ushamba
  7. Ulevi
  8. Elimu duni
  9. Kutokuwa na malengo
  10. Kukosa UPENDO
Tunashauriwa kushighulika na hayo kumi kuepukana na UDHAIFU
Inahitaji hali ya juu zaidi ya uvumilivu tofauti na unavyodhania mtoa mada

Love and peace
 
Back
Top Bottom