Samahani kwa designer wa maji haya ya Uhai

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Maji ya uhai Mazuri sana kwa kunywa maana ndio kinywahi changu cha kila siku..

Namuomba designer wa chupa abadilishe marangi rangi yake.

Mara nyekundu,mara kujani,njano,blue..

Marangi mengi yanaboa jaman

Lengo sio baya..kama mteja nina haki ya kusema
20181023_134001.jpg
 
Mkuu ilo hata mimi binafsi linaniboa mi naona nikiyashikaga kama nimeshika maji ya kandolo tu chupa yake haina hadhi ya 500 aisee na nafikili mauzo ya aya maji yatakua yamepungua kutokana na ilo tatzoa
 
Unajua ubunifu mwingine hebu tuwe tunaangali maana maji mazuri ila cover ya chupa inatisha sana.

Unajua tafsiri ya Rangi nyekundu kwenye bidhaa ni kubwa sana..hebu liangaliwe na hili jaman
 
Maji ya uhai Mazuri sana kwa kunywa maana ndio kinywahi changu cha kila siku..

Namuomba designer wa chupa abadilishe marangi rangi yake.

Mara nyekundu,mara kujani,njano,blue..

Marangi mengi yanaboa jaman

Lengo sio baya..kama mteja nina haki ya kusemaView attachment 908147

SHIDA YAKO RANGI AU SHIDA YAKO MAJI UNYWE ,KWANI UKIMALIZA KUNYWA MAJI CHUPA HUWA UNAZIPAMBA SITTING ROOM YAKO
 
SHIDA YAKO RANGI AU SHIDA YAKO MAJI UNYWE ,KWANI UKIMALIZA KUNYWA MAJI CHUPA HUWA UNAZIPAMBA SITTING ROOM YAKO
Ubora wa kitu unaanzia kwenye umbo la nje ..
Mfano 1.watu wengi hawa hawaoi au kuolewa bila kuangalia au kuvutiwa na umbo la nje.
2. Unanunua gari au nyumba wengi wetu huangalia umbo la nje.

Sembuse kitu cha kula na kunywa ..kiukweli ubunifu unahitajika kiongozi.
 
Back
Top Bottom