Nina milion 1, Nataka Passport?

Nina milion 1, Nataka Passport?

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
1,568
Reaction score
3,428
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
 
Unataka pasport ngapi.mkuu? mbona hiyo hela nyingi sana.wewe nenda na sh 150,000/-.siku hizi pasport. unaipata ndani ya wiki moja bila zengwe kabisa
 
Nani ajichomeshe kwa takukuru rafiki...

Wa sangara
 
Back
Top Bottom