Wafanyakazi pitieni hapa!

Wafanyakazi pitieni hapa!

BRAND

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
296
Reaction score
260
SERIKALI YA JPM YABORESHA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.

Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama ameliambia bunge kuwa serikali ya awamu ya 5 imeboresha kwa kiasi kikubwa maslahi ya wafanyakazi nchini.

Amesema maslahi ya wafanyakazi yaliboreshwa ni pamoja na barabara nzuri, huduma bora za afya, maji na umeme.

Amesema si kweli kwamba maslahi ya wafanyakazi ni nyongeza ya mishahara tu, bali hata barabara nzuri wanazotumia, maji safi ya bomba, umeme hadi vijijini na huduma bora za afya wanazopata.

Kuhusu nyongeza ya mishahara amesema wafanyakazi waendelee kuwa watulivu kwa kuwa serikali itaongeza mishahara ikishakamilisha mipango yake ya kiuchumi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madness
 
Chakutusaidia ni kushisha gharama za maisha ili hayo madafu yaweze kuafford sio bei ya vitu inapanda kama Jet halafu wananiambia blablabla washukuru wengi hatujitambui hii sirikali ya diziani hii isingekua hapa T Land!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni serikali ya CCM ktk ubora wake kutoa jibu kwa wafanyakazi wavuja jasho wanyonge.
 
IMG-20190416-WA0000.jpeg

Tujiandae kupokea mabango tu Mei Mosi.

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Mwenye CV yake tafadhari,huwa simuelewi kabisa huyu dada,alifikaje kwenye position nyeti hivyo na huku hata kujenga hoja zenye ushawishi hawezi?
Kwa viongozi wa sampuli hii,maendeleo tutayasikia BBC,DW,VOA n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My daily is is..is these.. ohoo is my member of parliament hii kitu Ni zero medula
 
Back
Top Bottom