Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UJAMBAZI DAR: Kuna taarifa kuwa majambazi yameua sista mmoja kwa risasi Riverside, Ubungo mchana huu, na sista mwingine afanikiwa kuwatoroka, dereva wao ajeruhiwa ; kuna jamaa, mashuhuda...
1 Reactions
151 Replies
51K Views
Ofcourse udhaifu umeongezeka katika vijana ila hivyo hivyo rasilimali zimepungua au zipo limited, ajira zimekwisha, pesa haipo tena mtaani lakini pia wapumbavu kaka na baba zao bado wapo maana...
3 Reactions
2 Replies
83 Views
Watoto wa baba mmoja mama mmoja mmeamuwa kuondoka kwapamoja yaani ndani ya mwezi mmoja na nusu kuondoka watu wawili daaaaa mnge muhulumia mama yenu wadogo wangu. Ila yote nayote pumzikeni kwa...
2 Reactions
4 Replies
123 Views
1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au 2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
0 Reactions
1 Replies
118 Views
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira. Surprisingly hajaona jina lake. Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku...
11 Reactions
78 Replies
7K Views
Hazina, hivi matatizo gani?Watu tumelalamika na kusema kwamba pension ya wastaafu wanayolipwa na Hazina ilipwe kwa wakati,kama vile wanavyolipa Social Security Funds kama PSSS,lakini...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Redirect
Bunge limeombwa kujadili na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mafungu nane ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 45 la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2026/27 yenye jumla ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Dodoma 2 Juni, 2026: Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Anonymous
Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu. Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya...
0 Reactions
4 Replies
224 Views
Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi. Tunaiomba serikali iache utaratibu huu...
9 Reactions
13 Replies
318 Views
Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena. Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani...
16 Reactions
49 Replies
769 Views
Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile...
7 Reactions
36 Replies
797 Views
Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6. Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia...
4 Reactions
16 Replies
226 Views
Mimi sio Ccm Niwasalimie kwanza; chei chei Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa...
4 Reactions
27 Replies
482 Views
Wangebeba kombe timu ya kusifu na kuabudu ingesema bila mama wasingebeba kombe.
7 Reactions
10 Replies
179 Views
Hamjambo nyie waja Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa...
3 Reactions
29 Replies
226 Views
Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu. Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa...
4 Reactions
29 Replies
484 Views
Wanabodi Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna...
7 Reactions
7 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…