KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
 
Dhamira ya kutoboa ilitimia?
 
Siku nyingine muwe mnapeleleza magari kwanza kabla ya kusafiri, hasa nyie wasafiri wa msimu hadi msimu.

Hayo magari yana abiria wake hasa wafanyabishara, na hiyo ni kawaida kwa magari yote ya kwenda mikoani.

Binafsi ni mfuasi wa basi kama hizo zinazojali muda, hakuna kitu sipendi kama kusikia eti ya basi letu kuna basi kadhaa zimetupita.

Na siku zote basi ya mbele hata abiria hamchoki.....huku kwetu tunaita Chombo ya mbele.!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom