Mkazi wa kijiji cha Mitonji,kata ya Mbuyuni wilayani Masasi Mkoani Mtwara,Dismasi Malikitu maarufu kizito,anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuwauzia wananchi nyama ya mbwa huku...
Habari watanzania !!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 naishi Norway now ila napenda sana kutali nimefika nchi nyingi tu kama Egypt mali na tunisia. Nikiwa mdogo sana nilikuwa na wazazi...
Kama una picha yoyote ya shule iliyo chakaa, majengo ya nyasi, udogo, makuti , watoto wanasoma chiji ya mti, nyumba za walimu, etc post hapa kwa kutaja mkoa, wilaya na kijiji au mtaa shule ilipo...
A Tanzanian guy born in brooklyn USA died in SA only at 49yrs old. The one and only named Rugemarila Mutahaba famous as Boss Ruge. Yanazungumzwa mengi sana kumhusu hasa kwa namna alivyogusa maisha...
Leo mkurugenzi wa Vodacom TZ na wengine kutoka kampuni ya TALA inayotoa mikopo chap chap kupitia simu ya kiganjani (Sina uhakika Kama ni TALA hii au tofauti) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
Unaweza ukakamata fursa at the same time unasaidia waliokuzunguka,,;it’s called creativityUnamzungumzia Pablo Escobar sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello!
Naomba mnisaidie wadau, nimemaliza chuo mwaka 2008 nikapata ajira ya mkataba wa mwaka mmoja kabla hata matokeo hayajatoka. Tuliomba na tukafanya interview nikapata kazi.
Kiukweli sikua...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley
Tabora. Muuguzi katika hospitali ya wilaya ya Urambo, Oscar Mwakipesile ameuawa baada ya kupigwa na kundi la watu kutokana na tuhuma za kumuua...
Habari Kuna vyeti ( f4,F6, chuo,kuzaliwa kadi za benk na cheti Cha kupigia kura) vimeokotwa tangu tarehe 04/04/2019 jina vya Carolina Andrew Shirima f4 amemaliza kisale sec 2002, f6 2005 Kibiti...
Wafanyakazi wa kampuni ya Sahara Media Group wamiliki wa StarTV, Radio free Afrika na Kiss FM wamekesha katika ofisi za Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ambaye ni mmiliki wa Kampuni hiyo, Dr...
Shida ni kuwa utakuja kujua ukiwa umechelewa na viashiria vinaweza kukufanya usiamini.
Nina shangazi yangu alieishi kwa muda upande wa pili wa baba mdogo ukivuka mto Rufiji kijiji cha palama...
Binafsi sioni sababu ya kudidimiza hizi ajira wakati hi nchi ina janga la tatizo la ajira
TCRA msitudanganye kwa mfumo hu hu mlionao sasa mnaweza kumkamata mtu yeyote anaetumia simu hapa nchini...
Majonzi vyatawala baada ya watu watano wote wa familia moja kupigwa na radi hadi kufa wakiwa wamelala kitandani.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kata ya Mkolye, kijiji cha Isongwa...
Kama mwezi mmoja na nusu uliopita Msajili wa vyama vya Siasa Nchini alimuandikia barua Mwenyekiti wa ACT WAZALENDO, akimueleza adhma yake ya kukifyekelea mbali chama hicho
Miongoni mwa sababu...
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Bilal Hamis (61) mkazi wa mtaa wa Ushirika wilaya ya Nzega mkoani Tabora amenusurika kufa baada ya kukatwa sehemu zake za siri na mpenzi wake Veronica Ngayawula...
Naongelea zile walizokuwa trafick police wanatuumiza nazo za kupima mwendokasi....maama unaweza ambiwa hapa ni speed limit 50 km/h ww umepigwa picha unatembea kwa 53 /h. Kwa njia ya morogoro road...
Habari wana jamvi!!!!
Nina muda mrefu nimekuwa nikitafuta sehemu/machimbo ya vifaa vya simu yenye bei poa ya jumla kwa maeneo kama Dar,,,Mwanza,,,na Nairobi
Vifaa navyohitaji ni kama
Mike...
Wakuu,
Mimi sijaelewa watu wanaposema kuwa huyu mtoto wa Uingereza katangaza utaliii, sijui nikutamka Serengeti,Ngorongoro na Kilimanjaro.
Ninachojua mimi kiutaalam huyu mtoto katangaza...
Habari wndugu,
kutokana na sitofahamu kuhusu wewe kama mmiliki wa sim card unatakiwa urudie kusajiri simcard upya kwa DORE GUMBA (fingerprint) kuwa zoezi gumu kwa wengi kutokuwa na vitambulisho...
Juzi nilipata tetesi kutoka group moja la WhatsApp kuwa kuna zoezi la kuthibitisha usajili kwa kuweka alama za vidole.
Leo nimepata ujumbe ufuatao toka kwenye lain yangu ya vodacom.
MUHIMU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.