Foleni kubwa Morogoro road

gudJohnson

Member
Aug 24, 2015
32
52
Hivi sababu hasa ya hii foleni kubwa namna hii mpaka usiku wa saa saba kwenye barabara ya morogoro kipande cha kuanzia kimara mpaka Mbezi ni nini????

wahusika mmeshindwa kabisa kutatua hii kero???
 
Ukitoka Kimara hata uwe na ulevi gani kichwani. Mpaka ukifika cha zamani ulevi wote kwishne.
Tatizo sasa kwenye foleni hii walevi wenzangu ni mkojo. Hapa nakojoa kwenye chupi ya maji poa.
 
Ukitoka Kimara hata uwe na ulevi gani kichwani. Mpaka ukifika cha zamani ulevi wote kwishne.
Tatizo sasa kwenye foleni hii walevi wenzangu ni mkojo. Hapa nakojoa kwenye chupi ya maji poa.
Daah kweli 'chupi' ya maji poa mkuu.
 
Hii kero kumbe inatukera wengi. Pale Kibanda ndio panazingua halafu utafikiri malori yote ya nchi hii yako mbele yangu.
Ila nilikuwa naongea na dereva mmoja wa Lorry akasema jtano-jmosi ndo safari za kutoka,yaani jtatu wanafuatilia mizigo port,mara nyingi hizo siku ndo wanapata mizigo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom