Siyo Viburi; Ukweli ni kwamba watoto wetu ni kizazi dhaifu; tuwahurumie wanapogoma kupisha wakubwa siti za daladala

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Habari!
Kuna watu wanadhani watoto Wa siku hizi wana viburi la hasha!

Ukweli ni kwamba hiki ni kizazi dhaifu kinachochangiwa na mambo mengi sana ya tabia ya nchi!.
Wapo watu wanaodhani Ulegevu unachangiwa na kuwadekeza;! Hapana!

Ukweli ni kwamba hawa watoto hawako strong by nature!

Kwanza kizazi chenyewe kimekuwa taabu sana wanawake kushika mimba tofauti na zamani, pili sindano na vyakula wanavyotumia!****

Wenzetu huko ulaya watoto wao wako very strong!
Pamoja na baridi lote ulaya, lakini ni kawaida sana kumuona mtoto wa miezi miwili akipelekwa beach kifua wazi, huku bongo mtoto ana mwaka utashangaa anafunikwa gubigubi na ma-babyshoe mazito, pumpus kibao, kofia na mask hadi wanashindwa kupumua!!!

Watoto wetu hawa; hawana viburi Bali ni dhaifu tuwahurumie tu!

CC #ummy mwalim
 
Hapo ni kwenye siti za daladala tu wanaonesha udhaifu.Wakifika umri wa kuwa na majukumu ya ndoa sijui itakuwaje!
 
Ikiwa nyote mnalipa nauli sawa sawa unategemea upishwe ukae? Sasa kama watoto wa siku hizi wapo legelege basi wawaachie hao watu wazima walio strong kusimama tu. Yaani nimekuona kwenye mwendokasi nimelipa sawa na wewe sababu upo 50s na nipo 20s nikupishe?? Utasimama tu mzee mla ugari na makande.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
cjagusia nauli Bali nimegusia udhaifu Wa kupisha wakubwa!
 
Tutawalaumu bure tuu.
kipindi nasoma chuo hapa dar ilkua hata aje nani siwez kumpisha kivyovyote kwenye usafir. Natoka chuo saa 3 usiku TIA kurasini narud home mbezi luis nakuja kupata gari saa 3 nanusu usku kariako kurud mbez afu anatokea mzee anaiona imejaa lakin anapanda hivyohivyo afu ukicheki ulikunywa chai saa 4 asubuh unapiga pasi ndefu mpka saa 5 usiku ukirud home ndo ukutane namsosi mwingine.

Wazee waache upuuzi kma wanahisi hawawez kusimama wasipande wasipande hizo gari
 
Umeandika point ila huko mwishoni ndio tatizo.
 
TIA kuna primary au secondary school?
 
Sema hawa kina Junia mnasema kamu tu dadi ndio dhaifu baba zima lina mwambia junia sori givu hagi toto la kike kamila sijui rosi au tamita linamiaka kumi na 16 limevaa kakaptura linakuja kudeka mapajani kwa dadi yake ndio maana mda mwungine baba dadi anatafuna mtoto wake pumbafu sana..
 
Kupisha mkubwa akae kwenye basi ni utamaduni wa kijinga sana, we we unasimamisha gari unakuta liko full unapanda LA nini?
 
Back
Top Bottom