Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Kiukweli kutapeliwa hakujawahi kwepeka hata uwe mjanja uliezaliwa katikati ya mji,utatapeliwa tu aidha kwamakusudi au bahati mbaya
Mimi Miaka ya nyuma, ubungo walishawahi niotea nikiwa na makusudi ya kutaka kuona ni jinsi gani wale vijana wanambinu kali za kugeuza simu kwenda sabuni(mfukoni)

Basi nikameet na janja mmoja akiwa na smartphone nzuri tu na ipo ON bt haina line. Akaniambia 50 me nikasema nina 20, akasema poa toa..nikampa fasta huku nikimkazia macho mfukoni asibadili gia...basi akaitoa mfuko uleule kama ilivyokua kwenye kibahasha..basi nikajua leo nimewaweza.

Alivyogeuka nikatoka mbio mpaka RIVERSIDE ili niikague...Loooh aisee nikakutana na sabuni aina ya KOMOA..doh
Aisee teknolojia ya wale viumbe niyahali ya juu.

Hebu tupe uzoefu wako katika kuingizwa Mitini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilinitokea hyo aiseee,aliniambia sim 25000 nikamwambia nna 10000 hapa,nikawa namsoma asibadilishe bana,akanipa ile naondoka akaniambia "GANZI KWA BARAFU JOMBA" kitu ambacho hadi leo sielewi maana yake na kwa nn aliniambia,nimefika mbele kuangalia nakuta sabuni imechongwa mfano wa sim aiseee nikajisemea jamaa mchawi nini.
Katika pita pita zangu nikakutana na yule jamaa bna,nikamshtua bana huku nacheka nikamkumbusha akasema jamaa angu kausha ni maisha tu.

Philips X2560
 
Mimi sikuingizwa mkenge,lakini tulinusurika. Nakumbuka mtaa wa Congo k.koo pale,Mimi na cousin wangu tulikuwa tunatafuta simu,cousin wangu ndie aliekuwa muhitaji. Tukafika sehemu akamkuta teja anauza simu,kumuulizia akasema elfu 40,mi nikaikagua nikaikuta nzima na ni nzuri tu. Nikaishikilia Mimi, nikamwambia cousin mpe ela,akakataa akasema simu yenyewe nzuri nirudishieni mkitaka ongezeni ela,tukamuliza sh ngapi akasema apewe 60 nikaikomalia simu cousin akamuongeza ela,akaona hapa wananiweza akakataa tukachukua ela yetu tukampa simu yake tukasepa.
 
Maserati usinitanie RUDISHA avatar yangu

Ningemnyang'anya anabaki anatafakari akaibe wapi tena
 
Nimekaa nao sana hao wezi lakn sijawahi kuelewa ni mechanism gan ambayo huwa wanatumia ila nahsi kuna mazingaombwe hapo
Hao jamaaa nawakubari sana wanavyoiba
Huwa nikiwaona wanamuibia mtu nawapa hela ya soda ata buku 5
Kwakweli kuna mazingaombwe aisee, nilikuwa nashangaa na sielewi inakuwaje mtu anatapeliwa na hao watu hadi nilipotapeliwa Mimi.
 
Back
Top Bottom