Ukitaka kugombana na mimi wewe waseme vibaya mabaa medi, huko ndiko ninakomalizia matatizo yangu na kuburudisha moyo wangu, ishia hapo hapoHawa Waudumu wa Bar Unaweza Agiza Chakula Ukamkaribisha Kimasihara Yaani Kiutani Utani Tu Akaja Kukaa na Akavunja Bawa[emoji848][emoji848][emoji848] Acheni Habari Hizo Bwana kwani Kusema Ahsante Tu Haiwezekani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole kwa yaliyokukuta... Mwanaume mzima unalia lia acha masikharaHawa wahudumu wa Bar unaweza agiza chakula ukamkaribisha kimasihara yaani kiutani utani tu akaja kukaa na wakavunja bawa(wakala)
Acheni habari hizo bwana kwani kusema ahsante tu haiwezekani?
Niunafiki kumkaribisha mtu kitu ambacho huna nia ya kumpa.Hapana coz kwa tabia na nidham ya waafrika kukarimiana ni jambo la busara ila nawe umaekarimiwa basi uwe unachek na nyakati basi sio kila nyakati Kitonga Maisha magumu mjuee
Aisee! Kuna siku muhudumu mmoja tena wa bar maarufu Kinondoni, alinilaza njaa! Nilimmaindi sana aisee! Yaani umeongea jambo lenye ukweli kabisa, .Iko hivi, nilitoka kwenye shughuli zangu za kuponda kokoto, muda ulikiwa umekwenda sana, sikula chochote mchana, mteja wa lori la kokoto hakutokea kunilipa na mzigo umekwenda, kwa kuwa namfahamu nikajipa imani siku ijayo atanipa, mfukoni nikabaki na Buku 5 tu! Nikaagiza chips na kakipande ka Kuku ikaba Buku ya boda, nikaanzaHawa wahudumu wa Bar unaweza agiza chakula ukamkaribisha kimasihara yaani kiutani utani tu akaja kukaa na wakavunja bawa(wakala)
Acheni habari hizo bwana kwani kusema ahsante tu haiwezekani?
Aisee! Kuna siku muhudumu mmoja tena wa bar maarufu Kinondoni, alinilaza njaa! Nilimmaindi sana aisee! Yaani umeongea jambo lenye ukweli kabisa, .Iko hivi, nilitoka kwenye shughuli zangu za kuponda kokoto, muda ulikiwa umekwenda sana, sikula chochote mchana, mteja wa lori la kokote hakutokea kunilipa na mzigo umekwenda, kwa kuwa namfahamu nikajipa imani siku ijayo atanipa, mfukoni nikabaki na Buku 5 tu! Nikaagiza chips na kakipande ka Kuku ikaba Buku ya boda, nikamkaanza kula bila kukaribisha mtu maana nilikuwa vibaya sana, si dada muhudumu akavuta kiti tena akakaa kwa kuanza na kashfa ya kudai, "Hata karibu huna lo!, una roho mbaya" huku ananawa, akaanza kula kwa kasi kuliko Mimi ! Tahamaki viazi vyote kamaliza na kuku nilikula kibawa tu! Dah!
Teh! teh! teh!.Ukitaka kugombana na mimi wewe waseme vibaya mabaa medi, huko ndiko ninakomalizia matatizo yangu na kuburudisha moyo wangu, ishia hapo hapo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukitaka kugombana na mimi wewe waseme vibaya mabaa medi, huko ndiko ninakomalizia matatizo yangu na kuburudisha moyo wangu, ishia hapo hapo