Swali la kizushi kuhusu muda

Swali la kizushi kuhusu muda

muchetz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
954
Reaction score
745
Kwanini sisi tunasema saa saba(7) usiku wakati wazungu (wa magharibi) wanasema "one o'clock in the morning".... yaani muda huo huo si tunaita usiku wenzetu wanaita asubuhi! Nani sahihi zaidi?

Nyongeza:
Na pia kwanini sisi tunasema saa saba(7) wao saa moja(1)?
 
Kwanini sisi tunasema saa saba(7) usiku wakati wazungu (wa magharibi) wanasema "one o'clock in the morning".... yaani muda huo huo si tunaita usiku wenzetu wanaita asubuhi! Nani sahihi zaidi?

Sorry. Mods naomba hamishieni kwenye Hoja Mchanganyiko
saba ni seven na moja ni one,mbona hujajiuliza kwann kama ni saa saba wasisene it's seven o'clock????
 
saba ni seven na moja ni one,mbona hujajiuliza kwann kama ni saa saba wasisene it's seven o'clock????

Mkuu hilo swali pia.... ila mi nimelenga zaidi kwenye majira... labda niliongezee...
 
Lakini mkuu hebu angalia mantiki ya swali la msingi
Na sisi tuna namna yetu ya muda Kuna usiku wa manane kuanzia saa 7 mpaka saa 10 tuna alfajiri kuanzia 11 mpàka saa 12 Asubuhi kuanzia saa 1 mpaka saa 5 Mçhaña kuanzia saa 6 mpaka 8 saa 9 ni alasili saa 10 mpaka saa 12 ni jioni saa 1 mpaka saa 6 ni usiku
 
Kwanini sisi tunasema saa saba(7) usiku wakati wazungu (wa magharibi) wanasema "one o'clock in the morning".... yaani muda huo huo si tunaita usiku wenzetu wanaita asubuhi! Nani sahihi zaidi?

Nyongeza:
Na pia kwanini sisi tunasema saa saba(7) wao saa moja(1)?
Hilo swali lako la kwanza ni uongo, hawasemi seven o clock in the morning, inakuwa ni evening, kwa hiyo jioni yao ndio jioni yetu na asubuhi yao ndio asubuhi yetu

Hilo la pili kwa nini seven o clock inakuwa saa moja huku ni kutokana na utofauti wao na sisi kwenye siku inapoanzia

Wao siku inaanzia baada ya saa sita usiku (tarehe inapobadilika) sisi siku inaanzia asubuhi saa moja (mishe za kazi zinapoanza)

Saa saba usiku inakuwa ni lisaa la kwanza la siku (one o clock) saa moja asubuhi kwetu ndio lisaa la kwanza la siku...
 
Back
Top Bottom