Safari ndefu za kulala njiani

Safari ndefu za kulala njiani

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,180
Reaction score
1,278
Wasalaaam,
Nataka leo kujua wale majamaa ambao huwa tunasafiri kwa kutumia mabasi,malori au magari binafsi.Je huwa tunakutana na changamoto gani hasa tunaposafiri usiku.Mfano leo naelekea Mikoa ya Kanda ya Magharibi sasa ilivyofika saa sita dereva amepaki gari.Cha kushangaza hilo eneo hata gesti/lodge zenye unafuu hakuna.Sasa napenda kufahamu wale wazee ambao huwa tunatumia usafiri wa kulala njiani tunakutana na changamoto gani nyingine.
 
Back
Top Bottom