ifuatayo list ya makabila ambayo yanafanana tabia
1.wazaramo, wakwere na wandengereko wanafanana tabia haswa ni watu wa shughuli, chereko, furaha na ni watu wasiopenda shida...
Kwa wale wanaopita eneo la kawe stand ya bus jamani hali si nzuri pale. Mitaro ya maji imegeuzwa mahala pa kutupa uchafu mpaka unashangaa kama kweli ma Bwana na Bibi Afya wanapita pale na...
Nashukuru mwenyeziMungu Sasa ndugu zangu watu wazima hasa wa JF akili zimeanza kukaa sawa na wameacha kufuatilia na kuziamini habari za kusadikika ikiwemo
-stori za Freemason
-stori za kukutana na...
Wanajamvi natumah mu wazima?
Nianze kwa kuwapa hongera watanzania kwa kila hali tuliyonayo,kwa kila maisha tunayoyaishi.
Kabla ya kuingia kwenye kiini cha mada yangu ndugu zangu niwajuze tu kuwa...
Moja ya mikutano ya mkuu wa nchi huko mbeya alijitokeza mama mmoja akidai kuwa Mtoto wake alilawitiwa na mtu mmoja huko, Halafu mtu huyo hajachukuliwa hatua yoyote, kitu ambacho kimemfanya mama...
Najaribu kuwa mzalendo nisafiri kwa ATCL toka Dar kwenda Entebbe Uganda. Sasa kila nikifanya booking kwenye website yao, inaniambia safari ya kutoka Dar kwenda Entebbe Uganda ni masaa 17 na dakika...
Juzi nilitoka Dodoma kwenda Iringa kwa bus umbali wa Km 260.8 nauli ilikuwa Tsh. 10,000
Jana nilisafiri kutoka Iringa mpaka Morogoro umbali wa Km 303 na nauli kwa bus ni Tsh 15,000
Nikapanda bus...
KAMATI ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Igunga mkoani Tabora inamtafuta daktari feki Emmanuel Peter (50), mkazi wa kitongoji cha Mwangowe kijiji cha Buhekela kata ya Igoweko tarafa ya Simbo wilayani...
Habari ndugu wa JF, najiuliza vijiswali vingi sana kuhusina na vazi la manesi wetu ambalo ni sare ya kazi.
Hivi ni kwanini mara nyingi huwa ni fupi sana kiasi kwamba akiinama, huko nyuma...
(Mod naomba tafadhar msiufute huu uzi Kama ilivyo kawaida yenu kunifutia nyuz zangu) twende kweny Mada Wakuru me ni kijana mtanzania mwenye mapenz na taifa lang binafs leo nimeona kuna umuhim...
Wakuu ni king'amuzi gani ukishanunua ndo hulipii tena zile vocha za mwezi kama vile AZAM TV n.k, alafu nikawa naweza kuona channel za habari kama vile TBC ITV nk?
Yaani nashida ya kuangalia...
Tanzania tuna hekta nyingi mno za ardhi ambazo zipo tu bila shghuli,ikiwa wewe ni msafiri mzuri hasa Wa njia ya barabara utalithibitisha hilo,tuna mbuga,mabonde na misitu mikubwa,achilia mbali...
Habarini za mida wanajamii wenzangu
Leo nimeona tuchangie mawazo pamoja kwa yale yanayoendelea mtaani kwa sasa njaa imekuwa kali sana kiasi kwamba kila mmoja anailaumu serikali.
Je, ni kweli...
Wasalaam,
Tumejenga barabara za lami kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano , kwa maana ya wepesi wa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kwa maana ya uwajibikaji mubashara, matokeo yake hizi...
Habar waungwana!!
Kwa taarifa za awali nilisikia suala la kufungia laini ambazo hazijasajiliwa kwa mfumo wa alama za vidole litaanza tarehe 1_05_2019 na watu wakataadharishwa kutoa vipesa vyao...
Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili.
Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na...
Habari wadau wa jf
Mwenye kujua menu ya kucheki driving license kama inadaiwa au gari kama inadaiwa naombeni mnijuze kwa njia ya simu(tigo)
Nmjrb kucheki webste nkkta these menu *152*75* lkn kila...
Habari za kuogofya sana hizi, albino wameanza kuishi kwa uwoga
Tanzanian albinos said Sunday they were living in fear of their lives after the remains of an albino were exhumed in what they said...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.