dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,087
Kila siku twaambiwa Muungano huu ni FAKHARI YA AFRIKA kama kweli mmepata FAKHARI kwa kuungana na kiinchi kidogo kama ZANZIBAR kwa nn hamtaki kuongeza FAKHARI yenu kwa kuanza mchakato wa kuungana na Kenya?
Tuliwahi sikia Tanganyika ndio inayokwamisha uanzishaji wa SHIRIKISHO LA KISIASA LA AFRIKA YA MASHARIKI
Hivyo na omba shirikisho au muungano huo uanze haraka na serikali iongozwe km ifuatavyo
Rais awe Uhuru Kenyata
Waziri Mkuu Raila
Mkuu wa Majesh atoke Kenya
IGP atokee KENYA
MABALOZI WOTE WATOKEE KENYA
NA Rais wa Tanzania ambae atakua na mamlaka ya ndani achaguliwe toka Nairobi
UMOJA WA AFRIKA NDIO FAKHARI YETU