nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Mh kuna tatizo la kubambikiwa faini,unakuta gari linafanya kazi tanga,lkn unakuta gari limeandikiwa faini ya kinyerezi dar,na unapowaambia wewe hujawahi fika huko kinyerezi wala gari halijafika huko hawakusaidii zaidi ya kulazimishwa ulipe faini,tafadhali mkuu fuatilia hili limekaaje?