Foleni ya Ubungo Imerudi Upyaaa

Foleni ya Ubungo Imerudi Upyaaa

Wanatengeneza mazingira y foleni ili wakamate pikipiki na vile vikirikuu vinavyobeba mzigo usiku
 
Mkuu kama mwenyeji wa dar utakuwa unaelewa foleni ya ubungo maana ni makutano ya barabara ya maeneo mengi mjini, mwenge, mjini, tabata na mbezi...foleni haishikiki
Ebu weka kapicha tafadhali!Ebu weka kapicha tafadhali!
 
Muda huu ni saa 5:00 usiku lakini ubungo kuna foleni kali, nini shida hadi adha hii imerejea tena? Hawa trafiki hapa wanatafuta nini mbona mzunguko ulikuwa umeondoa hii foleni??

Kuna ajali zinatokea hapo, ambapo gari huminyana kwenye mzunguko.

Pia trafic ni chanzo maana huwa wanazuia magari kwa zamu.

But kwa usiku huu huenda kuna ajali.

Ndiyo maana break down siku hizi limepiga kambi hapo Ubungo na halibanduki
 
Hakuna ajali wala nini ila foleni kali
 
Muda huu ni saa 5:00 usiku lakini ubungo kuna foleni kali, nini shida hadi adha hii imerejea tena? Hawa trafiki hapa wanatafuta nini mbona mzunguko ulikuwa umeondoa hii foleni??
Foleni inatuletea biashara sisi wauza juisi, maji na soda kwenye Foleni. Tunanufaika sana na Foleni. Wewe kama hutaki Foleni lala kwako
 
Usiseme foleni imerudi upya. . . Jana ilikuwepo? Kesho itakuwepo? We sema leo ndio kuna foleni....poleni sana maana najua foleni inavyoletaga shida
 
Foleni inatuletea biashara sisi wauza juisi, maji na soda kwenye Foleni. Tunanufaika sana na Foleni. Wewe kama hutaki Foleni lala kwako
Hahaha mkuu kwan hauna kitambulisho cha ujasiriamali, hakihitaji foleni ili upige hela wee zunguka tuu mji wote maliza
 
Anko, nilichokisema ni muendelezo wa wikii hii yote tangu ianze, ubungo foleni kali nyakati za jioni hadi usiku
Usiseme foleni imerudi upya. . . Jana ilikuwepo? Kesho itakuwepo? We sema leo ndio kuna foleni....poleni sana maana najua foleni inavyoletaga shida
 
N
Wanatengeneza mazingira y foleni ili wakamate pikipiki na vile vikirikuu vinavyobeba mzigo usiku
Siku za mwanzo pale roundabout hii ilipotenda miujiza nahisi kuna watu hawakufurahia. Kwa hiyo kwa sasa foleni inatengenezwa makusudi ili kukidhi malengo fulani (kukamata magari yanayodaiwa, kukamata pikipuki na kilikuu, kuvuta gari za marafiki na washikaji, kufanikisha kuuza bidhaa etc). Tuendelee kupiga kelele wataacha kwa kuona aibu.....
 
Back
Top Bottom