Kupungua kwa stori za kusadikika JF

Kupungua kwa stori za kusadikika JF

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,402
Nashukuru mwenyeziMungu Sasa ndugu zangu watu wazima hasa wa JF akili zimeanza kukaa sawa na wameacha kufuatilia na kuziamini habari za kusadikika ikiwemo
-stori za Freemason
-stori za kukutana na vibwengo
-stori za majini

Ukweli Ni kuwa tulishikwa Sana akili mambo ya kitoto tukaanza kuyashabikia.hapa ulimwenguni hakuna uchawi Wala hakuna nguvu ya huyo shetani inayoendesha ulimwengu.Nguvu Ni Moja tu ya mwenyeziMungu kwa hiyo haya Mambo yanaenda kuisha.watu wanaenda kuujua ukweli juu ya hii dhana ya uwepo wa uchawi.uchawi hakuna Badala yake Kuna UTAPELI tu haiwezekani tuishi kwa kuamini habari za kusikia wakati zipo habari nyingi za kuona.hakuna uchawi,hakuna majini,hakuna chochote Cha ajabu duniani tofauti na hiki unachokiona.kama unabisha fanya tahmini hata ulaya iliwachukua miaka ndipo wakashtuka kumbe walikuwa wanatishwa tu kwa miaka mingi so hata africa kwenye jamii zetu baada ya miaka Kama 30 Mambo ya simulizi za kichawi yanaenda kupotea kabisa.
 
Back
Top Bottom