Makaburi ya albino yaanza kufukuliwa na miili kuibiwa Tanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Habari za kuogofya sana hizi, albino wameanza kuishi kwa uwoga

Tanzanian albinos said Sunday they were living in fear of their lives after the remains of an albino were exhumed in what they said was a "bestial" and "barbaric" act.

The Tanzanian Albino Society called on President John Magufuli to "intervene personally and denounce this bestial act and provide financial support for programmes aimed at eradicating this barbarism against albinos."

In Tanzania and other sub-Saharan African countries, albinos' body parts are sought after for witchcraft practices because they are believed to enhance luck and wealth.

The remains of Aman Anywelwisye Kalyembe, an albino buried in 2015 in the Rungwe district of the Mbeya region in the south of the country, were exhumed and moved by unidentified individuals during the night of April 23 and 24, the society said.

The incident was "fuelling fear among albinos and their families," it said in a statement.
It attributed such actions to "superstitious beliefs at a time when we are preparing for (general) elections in 2020."
Tanzania's human rights campaigners say that the number of attacks against albinos is in sharp decline, but their graves are increasingly being desecrated instead and their remains exhumed.

A number of such incidents have been reported in different areas of the country since 2016.
Albinism is a genetic condition that results in little or no production of the pigment melanin, which determines the colour of the skin, hair and eyes.

https://www.dailymail.co.uk/wires/a...nzania-albinos-say-fear-lives-exhumation.html
 
Huyu jamaa yukogo busy kutafuta vitu vibaya kuhusu Tz,

Tatizo mnafanya mambo ya kiajabu ajabu inakua ngumu kuvumilia bila kuwasema, sasa mbona mnafukua na kuiba maiti za albino, eti mtatajirika, hamuoni ndio sababu kubwa za nyie kuwa maskini wa kutupwa.
 
Mnawashwa na Tz, maana hivo vitendo sio Tz tu, zko nchi nyingi za Africa, hamuwezi kaa bila kutafuta jambo baya Tz, napitia sana forum nyingi za Africa nakutana na ninyi mkiongelea mbaya Tz, sijuagi shida yenu ni nini, yaani hata kitu kibaya kitokee Uganda au nchi zingine za Africa huwa hamuongei ila sasa kitokee kibaya Tz nyie ndo mnakuwa vimbele mbele wa kwanza kana kwamba Tz wamewaibia wake zenu, Mkijibiwa na waTz mnaanza ooh mara waTz wana wivu sijui nn na nn, embu badilikeni asee muone kama waTz watataka maneno na nyie,
Mnakua kama nn sijui nyie watu,
 
Waache wakenya hao si unajua kwao kumekwama huu wote wivu tuu ...
Na mchina kawanyima hela ya phase 3 SGR hahahaha the railway to nowhere
 
Mnawashwa na Tz, maana hivo vitendo sio Tz tu, zko nchi nyingi za Africa, hamuwezi kaa bila kutafuta jambo baya Tz, napitia sana forum nyingi za Africa nakutana na ninyi mkiongelea mbaya Tz, sijuagi shida yenu ni nini, yaani hata kitu kibaya kitokee Uganda au nchi zingine za Africa huwa hamuongei ila sasa kitokee kibaya Tz nyie ndo mnakuwa vimbele mbele wa kwanza kana kwamba Tz wamewaibia wake zenu, Mkijibiwa na waTz mnaanza ooh mara waTz wana wivu sijui nn na nn, embu badilikeni asee muone kama waTz watataka maneno na nyie,
Mnakua kama nn sijui nyie watu,

Nchi gani nyingine albino wanaliwa, hizo mnazo nyie tu ulimwengu wote, mnafaa mzuie na kuwa wakali kwa wanaoyafanya sio kuwatetea kwenye mitandao.
 
Mnadaiwa na wachina mkalipe madeni ya watu.... shauri zenu mpaka siku wachina waje kuwapora mali zenu ndo mtaamka

Mnanuka medeni hadi hamkopesheki, jamaaenu juzi kaenda china kutongoza ili apewe pesa kanyomwa, ww unakesha jf kuiponda TZ nendaa kafanye kazi mlipe madeni ya watu
 
Si unawasha na Tz ndo maana hujui nchi gani nyingine

Back
Top Bottom