Jamani uchafu mitaro ya Kawe umezidi

Jamani uchafu mitaro ya Kawe umezidi

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
2,018
Reaction score
1,108
Kwa wale wanaopita eneo la kawe stand ya bus jamani hali si nzuri pale. Mitaro ya maji imegeuzwa mahala pa kutupa uchafu mpaka unashangaa kama kweli ma Bwana na Bibi Afya wanapita pale na kukausha. Saidieni hali si nzuri.
IMG_20190430_110315_9.jpg
IMG_20190430_110207_3.jpg
IMG_20190430_105958_1.jpg
 
Jumamosi mnafanya nini?
Kazi ya diwani kuhamasisha usafi.
Mnatuambia tuje kuwafanyia usafi?
 
Kwa wale wanaopita eneo la kawe stand ya bus jamani hali si nzuri pale. Mitaro ya maji imegeuzwa mahala pa kutupa uchafu mpaka unashangaa kama kweli ma Bwana na Bibi Afya wanapita pale na kukausha. Saidieni hali si nzuri.
Dar nzima kwa ujumla ustaarabu (usafi) sifuri.
 
Back
Top Bottom