Usajili wa laini kwa alama za vidole

Usajili wa laini kwa alama za vidole

Freewine

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
257
Reaction score
211
Habar waungwana!!
Kwa taarifa za awali nilisikia suala la kufungia laini ambazo hazijasajiliwa kwa mfumo wa alama za vidole litaanza tarehe 1_05_2019 na watu wakataadharishwa kutoa vipesa vyao huko Kama hawajakamilisha zoezi Hilo.
Taarifa zingine zinadai mkuu wa Kaya amesogeza suala Hilo mpaka December
Naomba mwenye taarifa kamili anisaidie ili niendelee kufatilia kitambulisho Cha NIDA bila kuathiri miamala
 
Ni hivi, zoezi litaanza mwezi may 1 na lilitakiwa kukoma September 30. Mkuu ameongeza mpaka December hivyo ni kama miezi 7 ya zoezi.

Zoezi hili haliathiri huduma za kifedha na mawasiliano mengine idipokuwa mpaka hiyo January 2020 ambapo wale ambao watakuwa hawajathibitisha usajili kwa alama za vidole lain zao zitafungwa.
 
Yani wewe ndo haujaelewa kitu kabisa,yani buree....aliyekuambia zinafungiwa tarehe 1/5 nani wakati hiyo siku ndo zinaanza sajiliwa......
 
Ni hivi, zoezi litaanza mwezi may 1 na lilitakiwa kukoma September 30. Mkuu ameongeza mpaka December hivyo ni kama miezi 7 ya zoezi.
Zoezi hili haliathiri huduma za kifedha na mawasiliano mengine idipokuwa mpaka hiyo January 2020 ambapo wale ambao watakuwa hawajathibitisha usajili kwa alama za vidole lain zao zitafungwa.
haya maelezo sikuyapata kabla yako. Asante
 
Back
Top Bottom