Napendekeza serikali itenge fungu kwa akina baba Kama ambavyo imetenga fungu kwa kina mama, Vijana na walemavu

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
930
2,520
(Mod naomba tafadhar msiufute huu uzi Kama ilivyo kawaida yenu kunifutia nyuz zangu) twende kweny Mada Wakuru me ni kijana mtanzania mwenye mapenz na taifa lang binafs leo nimeona kuna umuhim mkubwa kinda baba nap kupew pesa za mkopo kwa ajir ya kujiendelea kiuchumi na kijamii kama serikali ilivyo tenga pesa za mkopo kwa kina mama, Vijana na walemavu Asanteni sana naomba kuwasilisha
 
Mkuu uzoefu unaonesha kuwa pesa ikikopeshwa kwa mwanamke inakuwa salama zaidi kuliko wanaume na hata Vijana. Vile vile inasaidia familia direct. Kwa sisi wanaume tuna mambo mengi muda mchache. Sisi wanaume ni mashujaa wa matumizi mara nyingi kuhonga. Vile vile uziefu unaonesha kuwa wale wanawake wanaokopa na kushindwa kurejesha wengi wao ni wale wanaowashirikisha waume zao kwenye Biashara. Believe me or not lakn ndio ukweli wenyewe, sisi wanaume ni mashujaa sana kwenye matumizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom