Sitta matatani
Friday, 17 February 2012 21:42
0diggsdigg
Festo Polea
Mwananchi
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ameingia matatani baada ya Jeshi la...
Ile hospitali kuu ya vichaa pale Dodoma iitwayo Mirembe imejengwa siku nyingi sana.
Ningependa kujua ni kwanini hospitali hiyo sambamba na kile Kinyonge cha wahalifu vilijengwa pale Dodoma...
Kwanza naomba nianze kuwapongeza Watumishi kwa ukarimu wao na namna wanavyo mpokea mgonjwa.,
Ishu inakuja kwenye dawa, unaandikiwa dawa then baadhi unakuta hazipo unaambiwa ufuate siku inayo...
Mkazi wa Majengo wilayani Urambo Mkoa wa Tabora, Seleman Mashaka (31) anatuhumiwa kuwapa sumu watoto wake wa kambo na mmoja kufariki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amesema...
Serengeti. Ni kama hadithi, lakini ndiyo ukweli. Phillipo Elias, mkazi wa kijiji cha Musati wilayani hapa, ameuguzwa moto mwilini wakati akiombewa kanisani ili aponywe maumivu ya kichwa.
Elias...
Kwanini fremu za maduka katika majengo ya CCM jengo la CCM wilaya ya manyoni mjini, inalipwa tofauti? Kuna mtu analipa 30000,50000,70000, 120000, na 150000 mbaya zaidi frem hizi zilimilikiwa na...
Jeshi la Polisi Mkoani Njombe linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Ford Abel mwakatundu (28) mkazi wa Makambako mkoani humo kwa makosa ya kukutwa na nyaraka za serikali.
Hayo...
Uwezekano wa kufa kwa ajali za barabarani ni mkubwa zaidi katika Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake kuliko eneo lolote nchini, takwimu za polisi zimeonyesha.
Jiji lina maeneo korofi kwa ajali...
Naitwa Esma Mabruki, lakini watu wangu wa karibu walinikatisha na kuniita Esy. Mpaka leo Esy ndilo limekuwa maarufu.
Ni mzaliwa wa Dar es Salaam. Nilizaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala na...
Sa hv connection ndo habar ya mjini japo bahat ya mtende inaeza kukukuta ila ndugu connection ndo kila kitu hata kaz hz nying zinazotangazwa bila connection utaishia kutuma maombi wakikitahd sana...
Ndani ya maktaba hii husomi wala kuazima vitabu ila unamchukua binadamu mwenzio kuongea nae au unaweza muazima kuongea naye!.
Inatambulika kama The Human Library na ilianzishwa rasmi Copenhagen...
Heshma kwenu mabibi na mabwana na WENGINEO. Hivi kama Mtanzania hujawai kujisajiri kupata kitambulisho cha NIDA popote kwa sabab zilizoko juu ya uwezo wako, na zoez lilishakoma mikoan ni nini...
Ni takribani miaka miwili sasa na ushehe tangia shirika la pride Tanzania kusitisha huduma zake za mikopo kwa kilichoelezwa awali kufirisika lakini chanzo kikubwa kikiwa ubadhirifu wa fedha...
Wakuu Salam,
Nini kifanyike ili kuondokana nazo?
The following Life situations happen to people when they are false identified.
Being identified by that which they are not
.(Identification...
Inasikitisha sana mnapowalazimisha watumishi wa umma watumie online application wakati mtandao wenu unasumbua, hamko online.
Mmeweka namba za simu hazipatikani na ikipatikana haipokelewi, Emails...
Kwamba mtu aliyemlawiti mtoto wa yule mama kafungwa maisha jela,lkn mama wa mtoto hakujua wala hajui kuwa mlawiti kafungwa jela,na kila siku mama amehangaika maofisi mbalimbali na pia kuhangaishwa...
Habari,
Kuna aliyejisajili NIDA mwaka huu akapata???
Nimejisajili NIDA arusha toka januar hadi leo sijapata kitambulisho
Kulikoni?
Nifanyeje?nakihitaji mno