Wadau naulizia kijiji cha kiambankupe kipo katika mkoan gani hapa tanzania..
bado haina majibujaibu google
yap nko seriousA u serious mkuu?
Yaani toka mwaka 2015 mpaka mwaka huu 2018 hujakipata hicho Kijiji,na una shida gani hiyo ambayo haijaisha?majibu wadau
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewemajibu wadau
Sasa si amtafute huyo bibi fela amuulize [emoji48]Amuulize aslay kwenye wimbo wake unaoitwa ANAENDA KUSEMA mkubwa fela alitia maneno kwenye ule wimbo kuwa atampeleka huko KIAMBANKUPE