MWAKYEMBE HAKULISHWA SUMU,report ya police.

Mwakyembe amelishwa sumu.Tatizo letu ni kuwaachia Polisi kauli ya mwisho hata kwa mambo yanayoonekana.Nasisitiza:Mwakyembe amelishwa sumu tena na wafuasi wa Edward Ngoyai Lowassa..
 
We mwache tu lowassa hii ya mnwakyembe itamtafuna tu hataka salama naye tena yeye tunamchia jk ammalize.si unaona jamaa anakula wisky nyingi halafu anatetemeka
 
Eti hajalishwa sumu??

Ni nani angetakiwa atoe taarifa hii wajameni?
Ni polisi ama Daktari?
Ngoja wadau wa upande mwingine watakuja!

Police wa Nchi hii kweli na taarifa yao ikubalike! Mi nina shaka bado sana na hii taarifa!

Siungi taarifa hii kwa fikira zangu hata kidogo!
 
Nafikiri Polisi kusema hakulishwa sumu haimaanishi kuwa kilichomdhuru si sumu. Mwili wa Mwakyembe umekutwa na sumu kwa mujibu wa madaktari. Sumu inaweza kuwekwa kwenye chakula au mtu kutekwa na 'KULISHWA' kwa nguvu au kuwekewa sumu kupitia kwenye ngozi kwa kupeana mikono. Swali kwa polisi ni Je sumu iliyopo mwilini kwa Mwakyembe ambayo wame rule out possibility ya 'KULISHWA' (I mean kutekwa na kulishwa kwa nguvu), imeingiaje mwilini kwa Mwakyembe? I means kuna other means kama kuwekewa kwenye kinywaji, chakula, ngozi bila yeye kuwa na taarifa au amejilisha mwenyewe?.

Police hawawezi ku-rule out kuwa Mwili wa Mwakyembe hauna sumu hilo si kazi yao ni kazi ya madaktari waliomtibu na wameisha thibitisha hivyo kwenye report yao, kazi ya polisi ni kutujuza jinsi sumu hiyo ilivyoingizwa mwilini kwa kuchunguza ni nani alihusika na uingizaji huo (Criminal case). Kama polisi wasipotoa majibu katika maswali haya basi ni dhahiri kuwa wameshindwa kazi yao ama wanamuogopa muhusika aliyefanya kosa la kuiingiza sumu mwilini kwa Mwakyembe au wao wenyewe polisi ni wahusika.
 
Sikutegemea matokeo tofauti kwani ufanyaji kazi wa Polisi wetu tunaufahamu hawa jamaa wanalalia upande wenye maslahi kwao..
 
kati ya polisi na daktari nani mwenye kufahamu mtu kalishwa sumu?
sio daktari ailempima?? Sita hajapayuka anaujua ukweli.
polisi ni vilaza form 4 na std 7 afu wanataka kutuaminisha uongo wao kwa vile wametumwa kusema hivo
wanadhani nchi ni ya wajinga.
 
Mwakyembe amelishwa sumu.Tatizo letu ni kuwaachia Polisi kauli ya mwisho hata kwa mambo yanayoonekana.Nasisitiza:Mwakyembe amelishwa sumu tena na wafuasi wa Edward Ngoyai Lowassa..

Kwani amekuwa mtoto hadi alishwe! Mwakyembe amekula sumu sio amelishwa sumuu
 
Nakubaliana na Polisi kua Mwakyembe HAKULISHWA sumu,
But amekula mwenyewe kwa kutegeshewa au kupeana mikono na mtu mwenye nayo.
Kwani kumlisha mtu mzima kama yule inahitaji moyo kidogo.
 
Tusubiri Mwakyembe mwenyewe aje na data za ukweli.. inaumiza sana nikikumbuka wakati ule alipokuwa anatoa taarifa za kutishiwa kifo. Zilikuwa so detail kuonyesha kwamba alishajua anawindwa..Na hata kufikia kumpelekea IGP ushahidi lakini hamna taarifa iliyotolewa mpaka walipofanikiwa kumpata Mzee wa watu, ndio tunaanza kupata taarifa za polisi wetu. Kwa nini hawakutoa taarifa za uchunguzi wakati ule Mwakyembe aliporipoti kutishiwa kifo.. Kufanya siasa africa kunahitaji uwe na moyo wa chuma..!
 
Wangetoa tarifa ya uchunguzi wa mwanzo.mwakyembe alilalamika polisi,magari ya serikali na vodacom kumuwinda.ni aibu kwa polisi na serikali yake
 
Back
Top Bottom