mjakazi mwema
Member
- Oct 8, 2017
- 96
- 110
Kwanza naomba nianze kuwapongeza Watumishi kwa ukarimu wao na namna wanavyo mpokea mgonjwa.,
Ishu inakuja kwenye dawa, unaandikiwa dawa then baadhi unakuta hazipo unaambiwa ufuate siku inayo fuata napo unaambiwa hazipo
Njoo Baadae halafu Mashuka yenu na mablanketi yamechakaa badilisheni.
Jamaa anae fanya kaziChumba cha x ray ajitahidi kuwa Mkarimu pale sio central police