Hazina Kuu acheni kusumbua watumishi wa umma, wapeni salary slips zao

Puma yetu

Senior Member
Sep 23, 2016
111
125
Inasikitisha sana mnapowalazimisha watumishi wa umma watumie online application wakati mtandao wenu unasumbua, hamko online.
Mmeweka namba za simu hazipatikani na ikipatikana haipokelewi, Emails hamjibu sasa ninyi mnafanya nini hapo?

Ikiwa mtu ana shida ya halaka labda anahitaji kukopa bank afanyeje wakati hata simu zenu hazipatikani na Emails hamjibu mnamsaidiaje?
 
Mimi nafikiri njia hii ni rahisi na nyepesi kupata salary slip, halafu ni njia ya siri hata ukikopa hakuna anaejua umekopa shilingi ngapi?
Sasa mkuu utakopaje bila mwajiri wako kujua? Nani atakusainia barua ya mkopo
 
Sasa mkuu utakopaje bila mwajiri wako kujua? Nani atakusainia barua ya mkopo
Kipindi cha nyuma salary slip zilikuwa zinaletwa zinawekwa ofsini kila mtu anajichukulia ya kwake, wanokonoko walikuwa wanachungulia salary slip za wenzao kuona wanadaiwa shilingi ngapi?
 
Utaratibu wa Online ni mzuri kuliko ule wa awali,safi sana Utumishi,though changamoto huwa hazikosekani,wazitatue ili tuzidi kufurahia huduma..
 
Kipindi cha nyuma salary slip zilikuwa zinaletwa zinawekwa ofsini kila mtu anajichukulia ya kwake, wanokonoko walikuwa wanachungulia salary slip za wenzao kuona wanadaiwa shilingi ngapi?
Mbna mishahara kwa Ofisi inajulikana kwa kila level, na ukikopa lazma management ya Ofisi yako ikusainie so lazma wajue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom