Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

yeyote anayefahamu vigezo vyao vikuu kabisa ili uweze kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ, napenda sana hii kazi ASANTN
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Leo Mh.Rais Magufuli amewajibu TUCTA kuwa muda wake wa kuondoka madarakani bado.Nadhani aliwashangaa kumkumbusha mapema sana ahadi yake ya kupandisha /nyongeza ya mishahara kabla ya muda wake wa...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Philemon Mollel (Monaban)aliyekuwa na mgogorobwa eneo na wananchi wanne Ismail Kilas,Jackline Bendera, Aisha Mkwawa na Jane Sylvester wakazi wa Namanga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Roundabouts can reduce delays for pedestrians compared to traffic signals, because pedestrians are able to cross during any safe gap rather than waiting for a signal. During peak flows when large...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Nimesikia vilio na simanzi kwa wafanyakazi kote nchini kwamba mzee baba amegomea ongezeko la mshahara,, Lakini cha kushangaza hali ilivyo mitaani ni tofauti kabisa na nilivyotegea kwamba baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu Hivi ushawahi tolewa nishai n kiingereza? Mimi binafsi nakumbuka ilikuwa darasa la pili shule ya msingi Ligula,Mtwara Nakumbuka madam wetu wa english ukingea kiswahili tu ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watano Mbaroni kwa kumuua Mwanamke na Kumchana Sehemu za Siri Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linawashikilia watuhumiwa watano kwa kuhusishwa na tukio la mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi, Salaam! Siku ya wafanyakazi ni tarehe 01/05/2019 Siku hiyo tutashuhudia mambo mengi sana - nadhani tutaelewa faida tulizopata baada ya kuwatumbua wafanyakazi hewa - nadhani tutapata...
10 Reactions
39 Replies
6K Views
Katibu Mkuu wa Tucta,Nicholaus Mgaya. Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi (Tucta) limesema kitapaleka kilio chao cha kima cha mshahara kiwe angalao 720,000 kwa ajili ya kukidhi maisha ya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mm ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha Nasoma diploma YA banking and finance natafuta sehemu YA kufabyia mazoez yaan field please mwenye connection nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
1.Ni rahisi kuugua asthma pamoja na magonjwa mengine ya upumuaji hii ni kutokana na wingi wa magari na viwanda kwenye makazi vinavyosababisha air pollution. 2.Ni rahisi kuishiwa nguvu za kiume kwa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nipo kwenye maandamano ya mei mosi Mbeya lkn kila nikiweka uzi wa matukio mtandao unazunguka tu hamna kitu. Yani mmeboa sana mjipange kuna wenzenu wanakuja speed 120
2 Reactions
10 Replies
1K Views
*SWALI*.... ```Zamani wadada walikuwa wakikojoa, mkojo unachimba kishimo, lakini siku hizi wakikojoa mkojo unasambaa, sijui tatizo ni nini?``` *JIBU* Tuanze kwa kusema Fizikia ama Hisabati...
41 Reactions
190 Replies
28K Views
Habarini wote humu jamvini Nafanya kazi katika kampuni moja happy mjini(sitaitaja jina). Nimekuwa na tatizo la kulala toka saa 5 za usiku mpaka saa3,Hali inayonipelekea kuchelewa kazini mara kwa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Kama tumeweza kuacha kuazimisha sherehe za Uhuru , Muungano na nyingine za kitaifa kuokoa fedha , kwa nini viongozi wa wafanyakazi na serikali wasiwe wanahairisha sherehe za Mei Mosi ili waweze...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hamjambo ? Naomba tuwaze kwa kina juu ya jambo hili, binafsi huwa nakaa na kuwaza sana juu ya Maisha yetu sisi wanadamu hapa duniani? Kiufupi Maisha ya duniani ni mafupi kuliko Maisha ya...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Naona mzee anatoa takwimu hapa Billion........ Zimelipa walimu elfu ........ Billion ....... Zimetumika kama annual increment Billion 291.3 madai ya mishahara Billion ......... Malimbikizo ya...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Aisee nipo na ka TV kangu naangalia hii kitu ya Mei Mosi kupitia ITV ambao wamejiunga na TBC, hizi picha nazoziona hapa utafikiri zimepigwa zama za Pontio Pilato! Watu wanaonekana kama masanamu...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwasasa kuna nyimbo mbili:- 1.Queen Darlin-Muhogo 2.Rosa ree ft.Tammy tdat-Asante baba remix Hizi nyimbo zingesikika kwa watu wanaojifanyaga wako dunia ya zamani na wasiojua mziki,zingekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…