Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ITUNZE CHUPI YAKO IMEBEBA MAANA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YA NDOA IMEANDALIWA NA SANTOS AMAN MWAKOMO Pole na majukumu ya hapa na pale, natumai u mzima wa afya nami vivyo hivyo. Leo nimependa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bandugu, nimetafakari sana tukio hili. Mweshimiwa hataki mizaha kabisa kwenye kazi.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii habari kuna mdau aliileta hapa lakini ikapotea.... Sijui kwa sababu gani Habari yenyewe ilikuwa jamaa aliyenyongwa na joka lake 'la Kibisa' Akiwa analo muda mrefu tu, akilitumia kwa shughuli...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Clouds media ni zaidi ya Elimu kwa watu, katika tathimini yangu nimegundua hawa jamaa hakuna media yoyote inayowafikia hapa Nchini. Sitaweka sababu kwanini nawakubali, maana wakupinga wapo, japo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Waungwana, Kama nilivyowashirikisha hapo awali week moja iliyopita kama sijakosea sasa kuna mdau mmoja hapa JF kanijia PM na kunitaka kuongelea hili dili la kumuuzia hili pagare langu sasa...
2 Reactions
84 Replies
8K Views
wakati tunajikwamua kupiga miswaki na kupambana na wakina waitdent na kologeti lakni jambo la ajabu sijwahi kuona mzungu mwenye meno meupe kama wengi tunavyambana yawe au kumaintain. Inakuwaje...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwamba laiti Binadamu ( hasa Watanzania ) tungekuwa tunajua Siku zetu za Kufa, Muda na Jinsi Vifo vyetu vitakavyokuwa huenda tungeheshimiana sana na kupendana mno kiasi cha Kumfurahisha Mwenyezi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunajua wazi kabisa figo moja inaweza fanya kazi na ukaishi miaka mingi tuu kwanini utumie Figo mbili hayo ni matumizi mabaya ya rasimali... TUNAKUFUNGULIA DUNIA KUA UNAVYO WEZA... MAAMUZI NI...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Basi la Kilimanjaro limepata ajali Tanga likiwa linkaribia Mkata. Basi hilo lilikuwa linatokea Aruaha kuelekea Dar Es Salaam. Tunaendelea kufuatilia kama kuna madhara ya...
2 Reactions
108 Replies
19K Views
Assalam Aleykum. Ningependa kuwafikishieni Waislam na Waumin wote kua Mwezi umeandama na kuonekana huko Kenya ktk Kaunti ya LAMU maeneo ya Hola,Mikinduni..na kuthibitishwa na Kadhi mkuu wa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Tunakaribia mwezi may na bado miezi 4 wakulima waanze kuvuna korosho mpya ya msimu 2018/2019.Je korosho mpya zitawekwa maghala yapi?maana hadi sasa maghala yoote yamejaa za mwaka jana. Maghala...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siwezi jilaumu kwanini nilisoma kwani elimu inafaida yake kubwa sana. Baada ya kusoma sasaa nataka nitumie ujuzi wangu huu kujipatia kipato halali. Nimeamua kwenda shamba kulima na kufuga ngombe...
16 Reactions
90 Replies
14K Views
Miaka ya 90 ! Kurudi Nyuma huko Mwanaume alitambulika kwa Majukumu Anayo yafanya. 1.Ikiwemo Kuwinda 2.Kulisha Familia 3.Kulinda familia 4. Na mengineyo yaliyoitaji nguvu.... Kulikuwa na Mipaka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Leo Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Amesema 'ukiongea utachinjwa, ukinyamaza utachinjwa. Ukipiga kelele utachinjwa, na ukikaa kimya utachinjwa. . #BringBackMdude Alive
2 Reactions
1 Replies
739 Views
Juzi nilileta thread ya kutangaza kuhusu kuibiwa bag langu ambamo kulikua na nyaraka zangu muhimu ilkiwa ni vyeti pamoja na vitambulisho . https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1580120/...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
*UKOO WA HAIWEZEKANI* Nianze kwa kumnukuu Henry Ford "The cheapest commodity in the world is opinion" -Alisema kuwa bidhaa rahisi kupata katika hii dunia ni ushauri, ujue siku zote kitu rahisi...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Kwanza niwatakieni salamu za ijumapili na hasa wakati huu ambapo tunaomboleza kifo cha mtanzania mwenzetu Regnald Mengi. Ilikuwa miaka kumi na tano iliyopita nilipokwenda nchini Congo...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Na Bakari Chijumba,Mtwara. Afisa habari wa mkoa wa Mtwara, Evaristy Masuha amepongeza uongozi wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mtwara (MTPC),kwa kutoa tuzo kwa wanahabari wanne mkoani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mungu aiweke pema peponi roho yake. Mara nyingi Mzee amekua akisema kuwa yeye amekulia kwenye umasikini Wa kutupwa Nimeona clip hapa akihojiwa na Mtangazaji Wa Citizen TV,akimjibu mwandishi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…