Muandamo wa Mwezi

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
352
Assalam Aleykum.
Ningependa kuwafikishieni Waislam na Waumin wote kua Mwezi umeandama na kuonekana huko Kenya ktk Kaunti ya LAMU maeneo ya Hola,Mikinduni..na kuthibitishwa na Kadhi mkuu wa Kenya,hivyo basi kesho Insha Allah ni swaum ya kwanza ya Mwezi mtukufu wa Ramadan
Wabbillahi Tawfiq
Source:Radio Rahma Kenya
 
Kesho hamna kufunga. Funga inaanza jumanne tukijaaliwa.
 
Back
Top Bottom