Ukoo wa haiwezekani

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
*UKOO WA HAIWEZEKANI*

Nianze kwa kumnukuu Henry Ford "The cheapest commodity in the world is opinion"
-Alisema kuwa bidhaa rahisi kupata katika hii dunia ni ushauri, ujue siku zote kitu rahisi ni mawazo hakuna mtu utamuomba ushauri akunyime, tatizo ushauri upi unapewa?

-Watu wengi wanakatashwa tamaa na watu wengine wakiamini kuwa kile walichoshauriwa ni sahihi kabisa kumbe sio.
-Kuna kizazi au uzao wa watu ambao wapo toka kale enzi za manabii ambao hata ufanye nini watakuambia HAUWEZI

MIFANO MICHACHE

1.Daudi aliambiwa na ndugu zake toka hapa kachunge HUWEZI kupigana na Goliati, ili hali Daudi aliona fursa ya ufalme akimpiga Goliath, angesikiliza ndugu zake hakuna mtu angemjua leo

2.Zakayo alikua mfupi alipoona umati akauliza nani anapita akaambiwa Yesu lakini huwezi kumwona, akakambia akapanda mkuyu, Yesu akamwona lakini akamwambia Leo nitaenda nyumbanj kwako, watu walewale waliommwambia huwezi kumwona wakaanza mada nyingine haiwezekani Bwana kwenda kwa mwenye dhambi.

3.Kuna kipofu alisikia habari ya kuwa Yesu anapita, akaanza kupiga kelele kumuita Yesu, watu wakamwambia NYAMAZA, Kaa kimya( maana yake haiwezekani akakusikia maana watu ni wengi) ila hakuwasikiliza wale akaendelwa kupaza sauti mpaka Yesu akauliza nani ananiita? ( hakuambiwa unaitwa)
- Yesu alisema anaenda Yerusalem na atauliwa rafiki yake na mwanafunz wake petro alimwambia Bwana haiwezekani.

4. Bill gate alipokuja na wazo lake Microsoft uzao ulele upo mpaka leo ulimwambia HAIWEZEKANI

5. Mark Zuckerberg wa facebook mpenzi wake wa mwanzo alimwambia iyo ni kama video game jitahidi, kwa lugha nyingine alimwambia HUWEZI.

Nikuambie kuwa sio kila Hapana au huwezi inamaanisha huwezi hapana unakatishwa tamaa bure na sio kuwa hawakupendi au wana chuki na mafanikio yako noo. Ndivyo walivyo na aina ya ukoo ulioko duniani toka kizazi na kizazi.
- Fuata ndoto zako ukiambiwa huwezi chukulia kama comment tuu, dont take it serious.
- naamini itakusaidia hii.

*Yes you can and begin with you right now*
https://chat.whatsapp.com/EIAOWEN4ymW70tMFo2X0ra
 
Kwa niaba ya mwandishi pale telegram nimeamua kushare nanyi uzi huu. Nimeona ni bora tuka share fikra.

UBARIKIWE SANA
 
Back
Top Bottom