Kumbe wema bado upo duniani na watu wema bado wanaishi na wanazidi kuzaliwa

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
Juzi nilileta thread ya kutangaza kuhusu kuibiwa bag langu ambamo kulikua na nyaraka zangu muhimu ilkiwa ni vyeti pamoja na vitambulisho .

Namshukuru Mungu uyo mwizi alitoa izo nyaraka akaziweka sehemu zimeokotwa na wasamalia wema Hadi zimenifikia zikiwa salama bila gharama yoyote.

Nawashukuru wote waliokuwa pamoja nami bega kwa bega katika kufanikisha hili Jambo.
 
pole sana mkuu, ila plse kamtolee Mungu shukrani kanisani ama mskitini unapo sali. Maana vyeti na docs ndo vya mhimu sna kuliko hata ungepoteza pesa.
Juzi nilileta thread ya kutangaza kuhusu kuibiwa bag langu ambamo kulikua na nyaraka zangu muhimu ilkiwa ni vyeti pamoja na vitambulisho .

Namshukuru Mungu uyo mwizi alitoa izo nyaraka akaziweka sehemu zimeokotwa na wasamalia wema Hadi zimenifikia zikiwa salama bila gharama yoyote.

Nawashukuru wote waliokuwa pamoja nami bega kwa bega katika kufanikisha hili Jambo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom