Kamanda Mdude CHADEMA Nyagali ashinda kesi ya uchochezi baada ushahidi kukosekana

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Leo tarehe 18 april 2017 ilikuwa hukumu ya kesi yangu ya uchochezi mimi na wenzangu wawili.

Kesi hiyo ambayo ni CRIMINAL CASE NO.128 OF 2016 imetolewa hukumu leo tarehe 18 april 2017 katika mahakama ya wilaya ya mbozi ambayo mtuhumiwa alikuwa ni mpaluka said nyagali almaarufu mdude nyagali na Aristotle Mgasi na hosea mbuba

Jeshi la polisi linadai kuwa mnamo tarehe 24 augost 2016 niliandika maneno ya kichochezi kwenye acaunt yangu ya facebook ya Mdude Chadema Nyagali kuwa (NIKO KALONGA MALAWI HUKU NIMEAMUA KUJA ILI NIMUONYESHE MAGUFU-RI KUWA KAMA NIMEVUKA HAYA MAJI HAKUNA ASKARI WA KUZUIA UKUTA SEPTEMBER MOSI JIANDAENI POLISI UCHWARA TUTAPAMBANA NANYI HAMTUTISHI,NAWACHUKIA SANA) mwisho wa kunukuu

Katika hukumu hiyo mahakama imesema katika ushahidi wote wa upande wa jamuhuri hakuna shahidi hata mmoja ambaye ameweza kuionyesha mahakama maneno hayo yanayosadikika ni ya kichochezi katika mahakama hii.

Lakini pia pamoja na kuwa polisi walileta laptop na simu za mtuhumiwa kama kielelezo hapa mahakamani lakini hakuna mtaalamu hata mmoja upande wa jamuhuri aliyeweza kutumia laptop na simu za mtuhumiwa kuonyesha hayo maneno yanayosadikika ni ya kichochezi hivyo mahakama inamuachaia mdude na wenzake huru..

Kitu kilichoniuma kwenye shauri hili ni kwamba polisi hawakunitendea haki, walinihukumu kwa kunipiga na kunitesa kabla ya mahakama kutoa hukumu mimi pamoja na wenzangu,

Polisi walinifua nyumbani mnamo tarehe 26 augost 2016 siku ya ijumaa saa 12 asubuhi wakagonga mlango nikawafungulia wakaanza kunipiga huku wakiseach ndani kwangu bila kibali chochote bila kufuata sheria walinibeba mimi pamoja na baadhi ya vitu vyangu simu 3 pamoja na laptop bila kufuata taratibu zozote za kisheria.

Kibaya zaidi nimefikishwa kituoni centro RPC ananiambia una bahati tumekukamata asubuhi watu wanaona lakini ungekamatwa usiku mtu yoyote asione tungekupoteza,, Nikaingizwa chumba cha mateso nikafungwa miguu na mikono nikaning'inizwa juu nikawekwa jiwe kubwa kifuani nikaanza kupigwa na rungu kubwa almaarufu kama fatuma

Nilipigwa sana matakoni magoti na nyayo nikiwahoji ni kwa nini mnanipiga huku nikilia kwa sauti askari hao amabao mmoja ni marehemu alikufa kwa ajali ya gari baada tu tukio hilo walisema wananichukia kwa kuwa huwa nawasema polisi vibaya majukwaani na pia nawatukana sana polisi mitandaoni,walinipiga mpaka nikazirai

Walikataa kunipeleka hospitalini
walikataa kuonana ndugu na jamaa
walikataa kuonana na mawakili wangu
walinisababishia maumivu nilikuwa nakojoa damu

Mimi na wenzangu tulisafilishwa kwa siri kama magaidi kupelekwa
Dar es salam, Tulipelekwa kituo cha osterbay lakini tarehe 29 augost 2016 siku ya jumatatu walikuja watu flani ambao hawakujitambulisha kwangu na kuniingiza kwenye gari aina ya land cruiser hadtop lisilo kuwa na namba za serikali gari hilo lilikuwa limesajiliwa kwa namba za kawaida,

Nilibebwa mimi na wenzangu na kuingizwa kwenye hilo gari na kufungwa vitambaa usoni na kupelekwa sehemu inayosadikika ni mikocheni nyumba ambayo nje ina bendera za taifa na walinzi wa serikali nikaingizwa ndani ya nyumba hiyo nikavuliwa nguo zote mpaka za ndani,

mbele ya maafisa wa kike waliokuwa kama watatu nilifutwa korodani na maafisa wa kike hao niliteswa huku nikiambiwa kwa nini naikosoa serikali tukufu mtandaoni nilidhalilishwa sana,niliteswa sana na hao watu ambao siwajui ni idala gani ya serikali halafu mwisho wa siku nakutwa bila hatia inauma sana tena sana.

Shukrani zimuendee wakili tundu lissu wakati tupo osterbay alipambana sana kwa nguvu zote kuhakikisha napata haki ya matibabu na kupelekwa mahakamani,

Shukrani za pekee zimuendee wakili msomi my brother fom another mother mayweather Boniface Mwabukusi ambaye aliacha shuguli zake arusha alisafiri usiku kucha kuja kusimamia kesi yangu mbozi,mayweather amepambana sana kwenye kesi hii kubomoa ushahidi upande wa jamuhuri ,MUNGU ampe maisha marefu.

Namshukuru wakili msomi myovela kutoka dar es salama MUNGU ampe maisha marefu. Shukrani kwa wanachadema wote na wananchi wote wa tanzania ambao walisapoti kuanzia michango pamoja na ku-publish mitandaoni kelele zetu mitandaoni zilitusaidia sana sisi kupata haki za matibabu na kupelekwa mahakamani

Shukrani kwa mbunge aliyeshinda uchaguzi ila hakutangazwa my brother Fanueli Mkisi aliacha kazi zake zote kuhangaika na sisi,MUNGU ampe maisha marefu
Ninawashukuru sana wabunge ususani wa mkoa wa songwe frank mwakajoka Silinde Ernest David pamoja na Pascal Haonga

MUNGU atawalipa.

Mdude nyagali
sumu ya nyigu
tmp_19392-FB_IMG_1492518648473422127655.jpg
 
Hii aibu kubwa sana
Katika hukumu hiyo mahakama imesema katika ushahidi wote wa upande wa jamuhuri hakuna shahidi hata mmoja ambaye ameweza kuionyesha mahakama maneno hayo yanayosadikika ni ya kichochezi katika mahakama hii.

Lakini pia pamoja na kuwa polisi walileta laptop na simu za mtuhumiwa kama kielelezo hapa mahakamani lakini hakuna mtaalamu hata mmoja upande wa jamuhuri aliyeweza kutumia laptop na simu za mtuhumiwa kuonyesha hayo maneno yanayosadikika ni ya kichochezi hivyo mahakama inamuachaia mdude na wenzake huru..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
i see, ni habari yenye kutia huzuni sana, pole sana kaka, ila ninawasiwasi kama utaendelea kuishi miaka mingi, hawajakudunga sumu hawa watu na hao akina dada hawajaharibu hizo korodani, ukiwaona hao akina dada si utaweza wakumbuka, daah!! halafu tunasema TANZANIA NI NCHI YA AMANI
 
sumu ya nyiguView attachment 497804

Pole lakini uache kutukana wenzako watakukong'ori.
 
Mbegu ili ichipue ni lazima ioze.

Kuwa Upinzani Africa ni sawa na kuwa jirani na Mochwari.

Uzuri kizazi chetu cha chini kinayaona haya, Mateso ya mtu huwa hayapotei bure na ndio maana hapo amesema kuna Afande mmoja aliyekuwa anamtesa alikufa kwa ajali(Hiki ni kifo cha manung'uniko ya mtu)

Halafu kuna jitu linasema tuwapende Polisi.
 
Pole sana kaka, niwakumbushe tu watu wote tulioko duniani tunapita. Sisi ni kama maua tunachanua na pia muda ukiisha tunnyauka na kupotea kabisa na mwisho wa siku tunasahaulika. Tukumbuke kutenda wema, hata kama tupo kwenye kazi gani, tukumbuke siku ya kiama roho ya kila mmoja itahukumiwa yenyewe, tusijidanganye kufanya kazi tukiwa pamoja na siku ya kufa na hukumu tutakuwa wamoja, hapana kila nafsi itakuwa yenyewe. Tutende wema, na kama lengo ni kumkamata muhalifu, tukumbuke kuwatendea wema pia mpaka atakapopatikana na hukumu na ahukumiwe kufuata sheria tulizojiwekea wenyewe
 
Inahuzunisha sana story kweli imetokea anaandika kamanda Mdude Chadema Nyagali
Leo tarehe 18 april 2017 ilikuwa hukumu ya kesi yangu ya uchochezi mimi na wenzangu wawili.

Kesi hiyo ambayo ni CRIMINAL CASE NO.128 OF 2016 imetolewa hukumu leo tarehe 18 april 2017 katika mahakama ya wilaya ya mbozi ambayo mtuhumiwa alikuwa ni mpaluka said nyagali almaarufu mdude nyagali na Aristotle Mgasi na hosea mbuba

Jeshi la polisi linadai kuwa mnamo tarehe 24 augost 2016 niliandika maneno ya kichochezi kwenye acaunt yangu ya facebook ya Mdude Chadema Nyagali kuwa (NIKO KALONGA MALAWI HUKU NIMEAMUA KUJA ILI NIMUONYESHE MAGUFU-RI KUWA KAMA NIMEVUKA HAYA MAJI HAKUNA ASKARI WA KUZUIA UKUTA SEPTEMBER MOSI JIANDAENI POLISI UCHWARA TUTAPAMBANA NANYI HAMTUTISHI,NAWACHUKIA SANA) mwisho wa kunukuu
.
Katika hukumu hiyo mahakama imesema katika ushahidi wote wa upande wa jamuhuri hakuna shahidi hata mmoja ambaye ameweza kuionyesha mahakama maneno hayo yanayosadikika ni ya kichochezi katika mahakama hii.

Lakini pia pamoja na kuwa polisi walileta laptop na simu za mtuhumiwa kama kielelezo hapa mahakamani lakini hakuna mtaalamu hata mmoja upande wa jamuhuri aliyeweza kutumia laptop na simu za mtuhumiwa kuonyesha hayo maneno yanayosadikika ni ya kichochezi hivyo mahakama inamuachaia mdude na wenzake huru..

Kitu kilichoniuma kwenye shauri hili ni kwamba polisi hawakunitendea haki,walinihukumu kwa kunipiga na kunitesa kabla ya mahakama kutoa hukumu mimi pamoja na wenzangu,Polisi walinifua nyumbani mnamo tarehe 26 augost 2016 siku ya ijumaa saa 12 asubuhi wakagonga mlango nikawafungulia wakaanza kunipiga huku wakiseach ndani kwangu bila kibali chochote bila kufuata sheria walinibeba mimi pamoja na baadhi ya vitu vyangu simu 3 pamoja na laptop bila kufuata taratibu zozote za kisheria.

Kibaya zaidi nimefikishwa kituoni centro RPC ananiambia una bahati tumekukamata asubuhi watu wanaona lakini ungekamatwa usiku mtu yoyote asione tungekupoteza,,nikaingizwa chumba cha mateso nikafungwa
miguu na mikono nikaning'inizwa juu nikawekwa jiwe kubwa kifuani nikaanza kupigwa na rungu kubwa almaarufu kama fatuma nilipigwa sana matakoni magoti na nyayo nikiwahoji ni kwa nini mnanipiga huku nikilia kwa sauti askari hao amabao mmoja ni marehemu alikufa kwa ajali ya gari baada tu tukio hilo walisema wananichukia kwa kuwa huwa nawasema polisi vibaya majukwaani na pia nawatukana sana polisi mitandaoni,walinipiga mpaka nikazirai

Walikataa kunipeleka hospitalini
walikataa kuonana ndugu na jamaa
walikataa kuonana na mawakili wangu
walinisababishia maumivu nilikuwa nakojoa damu

Mimi na wenzangu tulisafilishwa kwa siri kama magaidi kupelekwa da es salam,tulipelekwa kituo cha osterbay lakini tarehe 29 augost 2016 siku ya jumatatu walikuja watu flani ambao hawakujitambulisha kwangu na kuniingiza kwenye gari aina ya land cruiser hadtop lisilo kuwa na namba za serikali gari hilo lilikuwa limesajiliwa kwa namba za kawaida,nilibebwa mimi na wenzangu na kuingizwa kwenye hilo gari na kufungwa vitambaa usoni na kupelekwa sehemu inayosadikika ni mikocheni nyumba ambayo nje ina bendera za taifa na walinzi wa serikali nikaingizwa ndani ya nyumba hiyo nikavuliwa nguo zote mpaka za ndani,mbele ya maafisa wa kike waliokuwa kama watatu nilifutwa korodani na maafisa wa kike hao niliteswa huku nikiambiwa kwa nini naikosoa serikali tukufu mtandaoni nilidhalilishwa sana,niliteswa sana na hao watu ambao siwajui ni idala gani ya serikali halafu mwisho wa siku nakutwa bila hatia inauma sana tena sana.

Shukrani zimuendee wakili tundu lissu wakati tupo osterbay alipambana sana kwa nguvu zote kuhakikisha napata haki ya matibabu na kupelekwa mahakamani,

Shukrani za pekee zimuendee wakili msomi my brother fom another mother mayweather Boniface Mwabukusi ambaye aliacha shuguli zake arusha alisafiri usiku kucha kuja kusimamia kesi yangu mbozi,mayweather amepambana sana kwenye kesi hii kubomoa ushahidi upande wa jamuhuri ,MUNGU ampe maisha marefu.

Namshukuru wakili msomi myovela kutoka dar es salama MUNGU ampe maisha marefu.

Shukrani kwa wanachadema wote na wananchi wote wa tanzania ambao walisapoti kuanzia michango pamoja na ku-publish mitandaoni kelele zetu mitandaoni zilitusaidia sana sisi kupata haki za matibabu na kupelekwa mahakamani

Shukrani kwa mbunge aliyeshinda uchaguzi ila hakutangazwa my brother Fanueli Mkisi aliacha kazi zake zote kuhangaika na sisi,MUNGU ampe maisha marefu

Ninawashukuru sana wabunge ususani wa mkoa wa songwe frank mwakajoka Silinde Ernest David pamoja na Pascal Haonga

MUNGU atawalipa.

Mdude nyagali
sumu ya nyigu
 
Haka katabia ka kufunga raia vitambaa vyeusi usoni kumbe ni muda tu kalianzia. Pole sana kamanda.
Fungua kesi ya madai hapo ulale nao mbele.
 
Ndiyo Serikali ya 'WANYONGE",Wanyonge hawa labda watutsi au Raia kutoka Chattle na Call me J
 
NI UONEVU WA KUPITILIZA
HATA KAMA ANGEKUTWA NA HATIA, HAKI YA KUMUADHIBU MTU NAMNA HII IPO KWENYE KATIBA GANI?
 
Back
Top Bottom