Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Hatua hii imechukuliwa kufuatia maji kujaa Mto Msimbazi hivyo kuhatarisha watumiaji wa vyombo vya usafiri na waenda kwa miguu
Huduma za mabasi ya BRT 'Mwendokasi' zimesitishwa kufuatia hali hiyo
Mabasi ya mwendokasi yataendelea kufanya safari zifuatazo